mindpower
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 1,049
- 1,213
- Thread starter
- #101
Waache wajidanganye!Hao wanawake wanaojipa faraja kuwa wakishakuwa na pesa tuu hata bila ya kuwa na mji watakuwa na furaha na maisha yatasonga wengi wao utakuta wanakuja kuzaa na waume za watu au ndo huishia kuwa ma sugar-mommy. Maranyingi mwanamke umri ukishasogea sana ndo hupotea kwenye ramani na huzidi kuwa desparate. Akibahatika kupata wa kumuoa lbda awe ni mwanaume aliyefiwa na mkewe, au anayetaka nyumba ndogo au ambae kafarakana na mkewe. Hivyo wewe ambae hujaolewa na ukijakutaka kuzaa lazima uzae na mume wa mtu au na serengeti boy na kuishia kuwa single mother. Hata hivyo huyo serengeti boy baadae nae atakuwa mume wa mtu. Hivyo kwa vyovyote vile lazima utaishia kuiba mume wa mwenzio. Na ukiona mwanamke umri umeenda sana hajawa na mji wake basi ujue huyo hakuwa wife material, siyo mtulivu katika mahusiano, ana tabia zisizompendeza mwanaume, ana mapungufu ya ndani tusiyoyaona au kalogwa. Ushauri: Muombe Mungu akupe wako mapema kwasababu utakujakupata dhambi kwa kuiba wa wengine. Unless kama utaishi pasipo kuzaa hapo sawa.
Wife material wengi wapo age ya 18----28,
29___33 age hii wamejaa wenye mapungufu mengi, na wasio na uvumilivu! Ni kaz kupata mke mwema
33__35 age hii wengi ni vibaka, wezi Wa mapenzi, Malaya na makahaba wastaafu, kupata wife material hapa mpaka upitie chekeche la roho mtakatifu, mwanaume akiingia kichwakchwa ataumia njiani
Ni age ilio ficha tabia, age iliovaa ngoz ya kondoo!
35__40 age hii mwanamke hana ujanja kila kitu anajulikana, hajifich wala hadangany chochote totally failed,Ni wakujizolea tu, wanaume wanaoa jumapil, jumamosi ndoa inakufa!
