Mwanamke usikubali upweke olewa

Mwanamke usikubali upweke olewa

Ndoa ndoano.nikiwa nayo poa nikiikosa poa tu kuna maisha pia zaid ya ndoa.muhimu pesa,afya njema
 
ndoa inawapa wanawake stress kama pesa inavyotupa stress sisi wanaume.
Naaam mkuu, mwanaume mwenye stress na pesa barabarani anatembea kama mwehu!
Hivyohivyo na mwanamke single umri umeenda hutembea Barbarani akisononeka moyoni mbona mm mzur wanaume kwa nn hawanioi, wananichezea tu!
Kila siku anawasiwasi sababu ya kukosa kileleni!
 
uko vizuri ukute unadaiwa bank halafu ramani hazisomi.
unakutana na mzee anakwambia hujambo unamjibu marahaba marahaba.
 
Sijawahi sikia mwanaume akienda kwa waganga/kanisani kuombewa apate mke, lakini kwa manawake hilo ni jambo la kawaida.
Mwanamke uwe na pesa bwana! Huo upuuzi wanaufanya wanawake wanaotafuta pa kuponea.
 
Tatizo ni kuonekana kama changudoa flani hivi yaani zoa zoa kimtindo!
Wanao onekana machangudoa ni wasio na kipato, wa natafuta tafuta wanaume wapate pa kuponea. Mwanamke tafuta pesa, ndoa ni upuuzi tu na stress za kujitakia. Labda upate mtu sahihi lakini unazoa kila uchafu eti mwanaume! Nikujichimbia kaburi.
 
Aisee kwa hiyo mnataka tufanyeje eti..
Tunataka mpungeze vigezo vya kuchagua mwanaume! Mara hand same and tall, degree, pesa! Umbo saizi ya kat, kitambi no, kabila, dini , nk
Kigezo kikubwa kiwe kimoja tu DUSHEE! yaani ume unaosimama imara na kufanya kazi vyema! Hapo wanawake wengi mtafurahia maisha ya kileleni!
 
Wenzako miaka 26, 27, 28 hadi 32 wanawazia promotion kwenye kazi zao, au next vacation in the Caribbean islands wewe unawaza ndoa?
 
Sisi Tanzania umr huo wanawake wengi wanapiga umbea tu wakishauriana kujaza gunia la vigezo mwanaume anayefaa kufunga nae pingu!
 
Na wanaume wanaowapata wanafanana nao haswaa

Kifupi ukiendekeza lifestyle ya kijinga utapata marafiki wa aina hiyo hiyo na pengine ukiwa na family watoto nao watafuata namna hiyo hiyo ya maisha

Ushauri ni huu, watu wajitahidi kujisomea, si lazima uingie darasani, you have internet on the tips of your finger, use that for your own advantage, you must think of yourself as a winner not a loser.

Pia watu wajifunze networking. Usikae tu kwenye mtandao kusoma porojo.

Jenga urafiki na watu waliofanikiwa. Uliza maswali.....ndiyo mbinu hizo.

Ukibaki nyuma ni wewe umeamua hivyo
 
Wanao onekana machangudoa ni wasio na kipato, wa natafuta tafuta wanaume wapate pa kuponea. Mwanamke tafuta pesa, ndoa ni upuuzi tu na stress za kujitakia. Labda upate mtu sahihi lakini unazoa kila uchafu eti mwanaume! Nikujichimbia kaburi.
Tena hao wenye kipato na kazi nzuri ndio zoa zoa usiombe na cha ajabu mara nyingi huwa wanapeleka mpaka home,
Unajua ukiwa huna mume na na una marafiki wengi wa kiume hata kama wawili ndiyo mpo kwa sex na nane ni marafiki wa kawaida ni ngumu sana watu kukuelewa!

Na ni ukweli lazima ukubali wanawake wengi 27/35 ambao hawajabahatika kuolewa na wana kazi nzuri ndiyo huwa na stress na hata kujiingiza katika unywaji pombe na mwanamke akishakuwa ni mnywaji ni rahis sana kusex hata na mtu asiye tarajia.
 
Na loveeness78 usifikirie sana kuja kuolewa na unayempenda sana utajikondesha bure wanaume sisi tunajijua wenyewe ni ngumu kutuelewa tunachotaka
Fikiria maisha na ni busara kuwa na familia kulinda heshima ya uzee wako.
 
Tunataka mpungeze vigezo vya kuchagua mwanaume! Mara hand same and tall, degree, pesa! Umbo saizi ya kat, kitambi no, kabila, dini , nk
Kigezo kikubwa kiwe kimoja tu DUSHEE! yaani ume unaosimama imara na kufanya kazi vyema! Hapo wanawake wengi mtafurahia maisha ya kileleni!
Unaumwa wewe..kwani ninyi kigezo cha mke ni K tu? Mbona mnakuwa wabinafsi hivyo?
 
Na wanaume wanaowapata wanafanana nao haswaa

Kifupi ukiendekeza lifestyle ya kijinga utapata marafiki wa aina hiyo hiyo na pengine ukiwa na family watoto nao watafuata namna hiyo hiyo ya maisha

Ushauri ni huu, watu wajitahidi kujisomea, si lazima uingie darasani, you have internet on the tips of your finger, use that for your own advantage, you must think of yourself as a winner not a loser.

Pia watu wajifunze networking. Usikae tu kwenye mtandao kusoma porojo.

Jenga urafiki na watu waliofanikiwa. Uliza maswali.....ndiyo mbinu hizo.

Ukibaki nyuma ni wewe umeamua hivyo
Aisee unajua kuitendea haki Id yako
 
Back
Top Bottom