Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,508
- 6,213
Mwanaume usikubali kutoa mahari kwenye kuoa , ndoa sio biashara inafaida pande zote tena mwanamke anafaidika zaidi kuliko mwanaume .
Shtuka kutoa mahari ni utapeli
Shtuka kutoa mahari ni utapeli