Mwanamke unawezaje kufanya huu ujinga?

Mwanamke unawezaje kufanya huu ujinga?

Kama wewe ndio natandikaga gagulo yao shambani.. Napiga mambo!'
Unalamba mbolea weee... Ukitoka hapo km ulikuwa stoo ya mkaa.

Hujiulizi why hujaolewa??
 
Nakushanga sana msichana mrembo kumkabidhi mwanaume anaemiliki tecno moyo wako..mimi hata salamu tu siwapi kabisa
Mnatakiwa msiyakubalie yaache kutumia vitu cheap yatafute pesa kwa bidii

Muwe na siku njema
hapo kwe avatar kama ndo wewe hata salamu yako siitaki maana hua sipokei wala kutoa salam kwa wadada wenye shepu ya KIHINDI!!
bora nibaki na ki tenco changu tuu
 
Nakushanga sana msichana mrembo kumkabidhi mwanaume anaemiliki tecno moyo wako..mimi hata salamu tu siwapi kabisa
Mnatakiwa msiyakubalie yaache kutumia vitu cheap yatafute pesa kwa bidii

Muwe na siku njema
huyu anajiuza mwili wake kwa pesa zinazoanzia sh elfu kumi akidhani mapenzi ni pesa,shiiit
 
Huwezi fananisha tecno ya laki Tisa na hiko kisamsung chako cha laki mbili na kumi na tano tuondolee ushuzi wako hapa na wewe msiiiiiiiiiieeeew .......nyinyi ndo kwenu mnalala kwenye telemka nikukaze then mkifika ugenini mnashobokea vitanda vya watu...
 
Nakushanga sana msichana mrembo kumkabidhi mwanaume anaemiliki tecno moyo wako..mimi hata salamu tu siwapi kabisa
Mnatakiwa msiyakubalie yaache kutumia vitu cheap yatafute pesa kwa bidii

Muwe na siku njema
Wewe Mchagga nakuona
 
Mnazan atakuwa kabila gani huyu??
 
Back
Top Bottom