Hao wageni wa kutoka bara wamekuja na maendeleo wakiwaacha wenyeji waswahili wakicheza bao na kusomesha watoto wao madrasa.hao watoto kubaki kulakulala na kukosa kipato then wanaanza udokozi wauze vitu ili nao waishi kama wageni kutoka bara!!!
mateja yote ni born hiahia die hiahia
samahani dada faiza kwa lugha yangu,uniwie radhi sikua na nia ya kuumiza hisia za yeyote,mm nimekulia huko bara sio siri nimekuja Dar baada ya kumaliza masomo huko kwetu bara,so hata Dar yenyewe siijui vizuri na mie nina picha fulani hivi ya uswahilini,yaani mm najua uswahilin ni sehemu kama magomen kinondon bugurun na watu wanaoishi huko ndio waswahili.
kwa hiyo haijalishi mtu ni mbunge au professor wa chuo kikuu?????
Bila samahani, ila uelewe kuwa hata huko ulipopataja kuna binaadam kama ulipotoka, na nnauhakika hata hko kwenu ambako si uswahilini kuna wenye mapungufu yao. Usitutusi kiujumla.
Nashangaa sana hapa kwenye "uswahili" na vibaka mnakuja kufanya nini> kuhatarisha amani yenu? hapo sasa.
haya ni makubwa yenye uzito mdogo,sasa haya yote yanatokea wapi mpendwa wangu ilhali nilishakuomba samahan,au ina maana mm ndio mtu wa kwanza kulitumia neno uswahili au uswahilini au waswahili kwa maana niliyomaanisha,mbona hata mm ni swahili speaker which makes me kuwa mswahili pia.Tafsiri yako ya uswahilini si kama niliyomaanisha mim,uswahilin yangu ni ile ya kulee kote kuleee kwa wanakosutana na matarumbeta kuleee ambako mtu akila nyama kila siku ni tajiri kulee wanakojibizana kwa maneno ya kanga.Pia sijakutusi ww mwenyewe ndo umeamua kutafsiri kuwa unatusiwa.Vile vile kinakushangaza nini hadi useme huku uswahilin tunafata nin wkt nina haki yakuweka makazi ktk sehemu yoyote niitakayo tanzania,kwanza hata majumba mazuri huko Dar ni sisi wakuja kutoka bara hao wenyewe wametuuzia viwanja ili wapate pesa za kucheza watoto na kuongeza idadi ya wake huku watoto wao wakiishia kuwa vibaka na mateja.Dar imejengwa na wakuja na watoto wa wenyeji ndio wanaongoza kwa ukibaka na uteja na uhuni,au ni uongo dadangu?
haya ni makubwa yenye uzito mdogo,sasa haya yote yanatokea wapi mpendwa wangu ilhali nilishakuomba samahan,au ina maana mm ndio mtu wa kwanza kulitumia neno uswahili au uswahilini au waswahili kwa maana niliyomaanisha,mbona hata mm ni swahili speaker which makes me kuwa mswahili pia.Tafsiri yako ya uswahilini si kama niliyomaanisha mim,uswahilin yangu ni ile ya kulee kote kuleee kwa wanakosutana na matarumbeta kuleee ambako mtu akila nyama kila siku ni tajiri kulee wanakojibizana kwa maneno ya kanga.Kila siku watu hapa wanawa-refer wasichana wa kutoka uswazi niliyomaanisha mim kuwa ni kuku wa kienyeji,au hujasikia,mbona huwashambulii..Pia sijakutusi ww mwenyewe ndo umeamua kutafsiri kuwa unatusiwa.Vile vile kinakushangaza nini hadi useme huku uswahilin tunafata nin wkt nina haki yakuweka makazi ktk sehemu yoyote niitakayo tanzania,kwanza hata majumba mazuri huko Dar ni sisi wakuja kutoka bara hao wenyewe wametuuzia viwanja ili wapate pesa za kucheza watoto na kuongeza idadi ya wake huku watoto wao wakiishia kuwa vibaka na mateja.Dar imejengwa na wakuja na watoto wa wenyeji ndio wanaongoza kwa ukibaka na uteja na uhuni.
hii ni coment yangu ya mwisho hapa naona hali si shwari na mie safari za dhoruba na mawimbi siziwezi.
nalog off.
Dar ijengwe na yeyote yule sio tatizo, uswahili wako ni wakuja na wakujifundisha na nna uhakika lugha mama kwako si Kiswahili ndio maana huwezi kuuthamini. Dar. Haijaanza kupata wageni leo wala jana, hili halitustuwi lakini kuja mkajifanya nyinyi ndio mliostaarabika wakati mlikotoka hata vyoo hakuna, hilo hapana mama, mnakuja hapa sio kwa kuwa kuna vibaka, mnakuja hapa kwa kuwa kuna fursa kwa kuwa watu wameendelea, sasa utafananisha huko kwenu ulikotoka na dar? hata kupataja huwezi. Pole yako.
Aisee!
We shangingi unashangaa nini sasa?
nashangaa wanavyotuanika shangingi mwenzangu. Najiandaa kuandamana.
jamani nasikia harufu ya baruti humu sredini
Bora tuungane shangingi mwenzangu labda watasikia
Kinyume cha mashangingi ndio masista duu?
kinyume mapedeshee.