Mwanamke ni nani?

Mwanamke ni nani?

Mungu hakuruhusu tendo la ndoa? tendo la ndoa mwishowe ni kukojoa mbegu. Mbegu zote zile ni watoto. kwa hiyo ni kosa mume na mke kufanya tendo siku zisizo za mimba? acheni kujustify kosa kwa kosa.

Kupiga punyeto ni kosa, kutoa mimba ni kosa kubwa zaidi, maana Mimba inamaana ya mbegu ya kiume+kike +pumzi ya Mungu. sasa hiyo ni kesi ya mauaji.

Acheni, acheni acheni tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vyote ni kosa, hakuna kubwa wala dogo, kosa ni kosa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke:
Anaweza kufanya jengo kuwa nyumba, nyumba ya amani na furaha

Anaweza kukufanya ukafanikiwa na kubarikiwa

Anakupa watoto kwa Majina yako, anabeba majukumu yako kwa watoto wako.

She is a comforter, a Counselor and a Guardian Angel.

Anatabasamu anapokua na Uchungu, na analia anapokua na furaha! Ni jasiri.

Ni muombezi wetu, ni mtunza Siri zetu na madhaifu yetu.

Anavumilia, Analea, ni mwelewa.

Ni MWANAMKE

HESHIMA KWA MWANAMKE, Heshima kwako, Heshima kwako, umethibitisha wewe ni jasiri!

Always

Elli

Sent using Jamii Forums mobile app
UMENIUDHI SANA HAPO ULIPOSEMA MWANAMKE NI "GUARDIAN ANGEL"

TENGUA HIYO KAULI KWANZA, ULIONA WAPI MALAIKA MWANAMKE?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LABDA WEWE ULITAKA NANI SS AWAJIBIKE KTK HAYO YOTE NAKATI MUNGU ALISHAMALIZA KAZI YAKE KWA KUWAPATIA HUO WAJIBU KIFAMILIA?

WANAWAKE TEKELEZENI MAJUKUMU YENU KWETU WANAUME ILI NANYI MUFURAHIE RAHA YA KUISHI PA1 NA WANAUME ZENU KTK MAHUSIANO/NDOA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom