Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,520
- 94,676
Yap ni kweli mkuu
Yap ni kweli mkuu
Aisee wanaume kazi tunayo kwenye hii commentmwanamke ni nsaidizi ,mkamilishaji wa ndoto za mwanaume anaempendeza mwanaume tuu,mwanamke ni kama chombo kidhaifu hvo lzm akil itumike kukitumia,mwanamke ameshika baraka za mwanaume,hvo ili mwanaume afanikiwe itategemea na mwanamk aliyenae lkn kwa mwanamke haitegemei mwanaume alienaeee,ana nafasi kubwa ya kuharibu maish ya mwanaume,asanten
Sent using Jamii Forums mobile app
Kosa ni kosa tu! Hakuna dogo wala kubwa soma maandiko utaelewa !Hakuna kinyonge chochote kitakachouona ufalme. Sawa wewe endelea kupima makosa tu.kosa la mauaji ni kubwa kuliko zote. huwezi kuua kiumbe chenye pumzi ya Mungu ukasema ni sawa na kosa la kumtukana mtu.
Mungu husamehe, tubuni.
msijitetee hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie tupondeni tu haina shida, watoto wetu wanatuthamini, Kama ambavyo nyie mnawaona mama zenu wa maana, ukute baba zenu wanawaona mama zenu mashetatani vilevile. ,Maisha haya!
Wanasema mama zao ndiyo malaika ila wa wengine ndiyo mashetani, cha ajabu inaweza kuta mama zao ndiyo wasaidizi wa ibilisi mwenyeweWewe ukiona mwanamke ni shetani, wengine tunamuona ni wathamani kumbuka ukikaa tumboni kwake miezi 9 na ukanyonya matiti yake kwa miaka 2.Hata kama alikutelekeza ukiwa mdogo ila bado ni mama ana thamani kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Crazy creaturesMwanamke:
Anaweza kufanya jengo kuwa nyumba, nyumba ya amani na furaha
Anaweza kukufanya ukafanikiwa na kubarikiwa
Anakupa watoto kwa Majina yako, anabeba majukumu yako kwa watoto wako.
She is a comforter, a Counselor and a Guardian Angel.
Anatabasamu anapokua na Uchungu, na analia anapokua na furaha! Ni jasiri.
Ni muombezi wetu, ni mtunza Siri zetu na madhaifu yetu.
Anavumilia, Analea, ni mwelewa.
Ni MWANAMKE
HESHIMA KWA MWANAMKE, Heshima kwako, Heshima kwako, umethibitisha wewe ni jasiri!
Always
Elli
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama dada yako katoa mimba unadhani na wengine wametoa?
Abee mane
Teh..niaje?😆😆😆😆😆demi ww