Mwanamke ni nani?

Mwanamke ni nani?

Tunawapenda sana mama, dada na wake zetu. Bila wao huenda dunia ingekuwa katika mfumo tofauti kabisa. Lakini ni viumbe wadhaifu mno, hata vitabu vitakatifu vimetuambia hivyo, na pia tumeambiwa tuishi nao kwa akili... huenda ndio akili unayotumia hapo mpwa Elli[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanawake tumebarikiwa vipaji vingi na Mungu tena vya ajabu tukipata partner sahihi lazima maendeleo yaje

Sent using Jamii Forums mobile app
Bimaana wasio na maendelea hawajajiongeza kwa kuchagua wake sahihi,?
Wanawake,mamazetu ni wadudu ambao kuishi nao inaitaji nguvu ya ziada mbali na fursa nyingi walizopewa pamoja na ushawishi ila kwa mwanaume bila kutumia nguvi ya ziada hakuna mwanaume atakae baki salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunawapenda sana mama, dada na wake zetu. Bila wao huenda dunia ingekuwa katika mfumo tofauti kabisa. Lakini ni viumbe wadhaifu mno, hata vitabu vitakatifu vimetuambia hivyo, na pia tumeambiwa tuishi nao kwa akili... huenda ndio akili unayotumia hapo mpwa Elli[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha Asante Sana Mpwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
eti mwanamke ni mtunza siri na madhaifu yetu loooh ao ndio wapinga maendeleo

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie tupondeni tu haina shida, watoto wetu wanatuthamini, Kama ambavyo nyie mnawaona mama zenu wa maana, ukute baba zenu wanawaona mama zenu mashetatani vilevile. ,[emoji3][emoji3][emoji3] Maisha haya!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom