Mwanamke ni nani?

Mwanamke ni nani?

Wanawake hawaeleweki,unaweza ukamuona ni mbonge,ila anakunjika kama mpira,wana flexibility ya ajabu in every angle,na haumii wala havunjiki...very dynamic katika nyanja zote,never trust them,never ever!
 
Mwanamke ni kiumbe mwenye ubongo nusu Kilo, asiejitambua kwa anayo yatenda, kwani ndani ya dakika5 mwanamke kama alijisaidia sehem, anakua ameshapoteza kumbu kumbu, povu inaruhusiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu hakuruhusu tendo la ndoa? tendo la ndoa mwishowe ni kukojoa mbegu. Mbegu zote zile ni watoto. kwa hiyo ni kosa mume na mke kufanya tendo siku zisizo za mimba? acheni kujustify kosa kwa kosa.

Kupiga punyeto ni kosa, kutoa mimba ni kosa kubwa zaidi, maana Mimba inamaana ya mbegu ya kiume+kike +pumzi ya Mungu. sasa hiyo ni kesi ya mauaji.

Acheni, acheni acheni tafadhali.
Very true aisee wao kutunanga tu wanawake

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom