Mwanamke ni nani?

Mwanamke ni nani?

Heshima kwa bimkubwa,mama wadogo,bibi uliyebaki ,heshima kwa mashangazi na mabinamu,heshima kwako dada la dada kipenzi,naheshima ziwaendee wamama,mabinti,na mabibi wote wadunia hii,Mungu awajaalie busara,uvumilivu na upendo na awaepushe na tamaa,usengenyaji na kuigaiga. Pia awajaaliye mupende nywele zenu za asili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amesema wanawake, wale wanaojijua wana nick name zingine hampo hapa, jini, nyonya damu, wadangaji, girlfriend,mmiliki wa ATM, wachunaji, ejaculator, kimeo, mzigo, n.k.
Kama unahisi una nickname aidha unaitwa na wenzio au mkamuaji wako, hauhusiki. Ni wanawake haswa waliodhamiriwa hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heshima kwa bimkubwa,mama wadogo,bibi uliyebaki ,heshima kwa mashangazi na mabinamu,heshima kwako dada la dada kipenzi,naheshima ziwaendee wamama,mabinti,na mabibi wote wadunia hii,Mungu awajaalie busara,uvumilivu na upendo na awaepushe na tamaa,usengenyaji na kuigaiga. Pia awajaaliye mupende nywele zenu za asili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bila kusahau rangi zao za asili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom