Leonardchama7
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 2,965
- 4,040
Wanawake ni mashetani tu,isipokuwa mama yangu tu,chunguza kiundani utambue mwanamke ni kiumbe cha aina gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama dada yako katoa mimba unadhani na wengine wametoa?
Pole Sana, huenda ulimkana...Sio dada tu bahati mbovu mpaka kwa kipenzi changu wa kwanz alipoteza maisha akiwa achomoa mimba
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnapambwa!!!.... Au sio.....daily mimba zinachomolewa,,,,eti mnapambwa....... mtoa mada kayumba!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole wewe kaka, una haki ya kucomment na kuwaona mashetani ila tuongee watu wasisikie, alifanya hivyo ili iweje au ulimkataa?Sio dada tu bahati mbovu mpaka kwa kipenzi changu wa kwanz alipoteza maisha akiwa achomoa mimba
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutoa mimba haina tofauti na masturbation mnayofanya mana ni kosa pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani alikwambia wewe unaona hakuna tofauti kwel hapo? Acha utani basiKutoa mimba haina tofauti na masturbation mnayofanya mana ni kosa pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Yote ni kosa tu maana wachezea uhai piaNani alikwambia wewe unaona hakuna tofauti kwel hapo? Acha utani basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora Leo tunapambwa. Asanteni kwa niaba ya wanawake wenzangu
ni mashetani kasoro mama yangu tu...
Wenyewe hawaihesabu hiyo maana hata kutumia mpira nayo kosa vile vileKutoa mimba haina tofauti na masturbation mnayofanya mana ni kosa pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Very true aisee wao kutunanga tu wanawakeWenyewe hawaihesabu hiyo maana hata kutumia mpira nayo kosa vile vile
Sent using Jamii Forums mobile app