Mwanamke ni chombo cha starehe(?)

Poa.
 
Mleta mada umeleta mkanganyiko kidogo kutokana na kichwa cha mada kuna talbisi ndani yake.

Kichwa cha habari kina jumuisha kila mwanamke yeyote yule awe mkeo,mama yako,Dada yako,shangaz yako nk.

Na maelezo yako umemtaja mwanamke kwa nafasi yake moja tu kwako yaani mkeo maana ndiye unaye weza kustarehe naye na si mwingineyo.

Na hadithi ya uliyo stadilli nayo,mwanamke aliye kusudiwa hapo ni mke mwema

Hivyo kauli yako hii inatalbisi ndani yake.
 
Naaam na talbis inahitaji ufafanuzi.

Na ufafanuzi ndio huo nilioutoa huko juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke aliye kusudiwa hapo ni yule atakaye kuwa mkeo na si kila mwanamke

Maana wanawake wana nafasi tofauti kwako.
Kwaninasiyekuwa mkeo si atakuwa mke wa mwingine na atampa starehe mtu mwingine na huyo Mtu atasema mke wangu nastarehe nae.

Sasa hapo si yule yule mwanamke au wewe ulielewa vipi uzi wangu ?

Uzi wangu unamgusa mwanamke,haina maana hata mama yangu nistarehe nae,mama yangu atastarehe na baba yangu.
Mimi nitastarehe na mke wangu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yah.

Ndio maana tunalipa mahari tukitaka kuoa kwa maana ya kuwa tunawahitaji zaidi kuliko wao wanavyotuhitaji sie
Hii ndjo point sasa.... Kwamba pesa ndio itakupa cha starehe kinachovutia u urudike kwa raha zako zote. Wanawake kweli chombo kizuri kwa starehe cha maingi ndalama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimeoa na nina mke tunafurahia maisha.

Na nina imani namuhitajia yeye kuliko anavyoniitajia yeye.



Sent using Jamii Forums mobile app

Lazima wewe umhitaji zaidi kwasababu alishagundua mume wangu anazo za kuvukia barabara tu!na hayo ndo maswahibu anayokumbana mkeo kipindi hiki..lazima umtegemee usipomtegemea kula yako tu itasumbua
 
Mbwembwe tu za mdomoni na mikono kutype , wa hivi huwa ni dhaifu, hawana misimamo, bendera fuata upepo,huwa wanazolewa kirahisi sana, ni wepesi sana kushikwa na mwanamke, tunaishi kwenye jamii tunawajua vizuriii, ndiyo maana mimi wale wanaoongea kwa ustaarabu sana ndio ninawahofia sana huwa ni makauzu, wanajiamini, hawashikiki kirahisi na hatari zaidi ni wafujaji wa kimyakimya,tena wengine huenda mbali zaidi huwa wanapiga kabisaa ukiambiwa huwezi amini, ila hawa wapiga kelele sina hata shaka, yaani sitikisiki!
Mmh namhurumia gf/mke wako. Mwanaume mwenye mtazamo wa hiv ni hatari kwa afya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inafikilisha..

kelphin kepph
 
OGOPA MWANAMUME MPOLE

hawa ntilalila walaa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…