Mwanamke ni chombo cha starehe(?)

Watoto wanaingiaje mkuu.

Gari ni mfano tu.

Mwanamke anatakiwa awe na mwanaume mmoja tu kwa mujibu wa maumbile yake ya asili kwa sababu katika malengo ya kuwa pamoja ikiwemo kupata watoto.

Ndio maana mwanamke hawezi kubeba mimba za watu wengi kwa pamoja.na akiwa na wanaume wengi kutatokea utata juu ya baba wa mtoto

Ila mwanaume anaweza kutia mimba nyingi kwa pamoja.na kila mwanamke anamtoto wake wa baba mmoja.

Kama mwanamke hawezi kuwa na mimba za watu wawili kwa pamoja basi hio ni dhahiri mmoja tu anatosha kuwa na maumbile ndo yanahukumu hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alaaa ?

Mtume wa Allah anasema

"Dunia ni starehe na bora ya starehe ni mwanamke. Mwema "

Kwa nini hapa starehe ya dunia bwana Mtume kaiambatanisha na mwanamke ?



Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio sfarehe namba moja duniani hizo za bia madawa hamna kitu... Kugegeda bwana ndio starehe yenyewe
 
Alaaa ?

Mtume wa Allah anasema

"Dunia ni starehe na bora ya starehe ni mwanamke. Mwema "

Kwa nini hapa starehe ya dunia bwana Mtume kaiambatanisha na mwanamke ?



Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini hakusema chombo cha starehe ?

Unajua sifa za chombo ? Chombo nikisicho na uhai ?

Allaj aloye juu anasema :

"Na katika Ishara Zake ni kuwa Amekuumbieni wake zenu kutokana na nafsi zenu ili mpate utulivu kwao. Naye Amejaalia mapenzi na huruma baina yenu. Hakika katika haya bila ya shaka zipo Ishara kwa watu wanaofikiri. [Suuratur-Ruum 30:21].


Al-Haafidh Ibn Kathiyr (Aliyefariki 774H) - RahimahuLLaah - alisema katika kufafanua neno ‘
Mawaddah’ na ‘Rahmah’ ambayo inapatikana katika Ayaah iliyopita, anasema:



"
Al-Mawaddah inamaanisha mapenzi na mahaba na Ar-Rahmah inamaniisha rehma (upole) na huruma - kama ilivyokuwa mtu anamchukuwa mwanamke ama kwa sababu ya mapenzi kwake, au kwa sababu ya mapenzi juu yake au kwa sababu ya upole na huruma juu yake, kwa kumpa mtoto kutokana na yeye..."
 
Neno chombo ni sifa.

Kwa maana ya kuwa tunawatumia wanawake kwa maana kitamaduni tunawatendea wao.

Au neno chombo umeelewaje wewe mkuu Zurri ?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kumuita mwanamke chombo cha starehe, ni kumshushia hadhi na sifa yake, bali huo ni uhuni na uzandiki, hawakuwa na sifa hiyo waja wema.

Sasa ndio utuambie weww nani aekutangulia katika hili ?

Kwanini mtume hakuwaita hivyo wanawake au maswahaba ?

Sasa unatakiwa kujifunza kuweka kitu mahala pake.

Sifa ta sifa fulani huendana na uhalisia, sasa uhalisia wa sifa ya chombo kwa mwanamke haipo.

Hapa huna cha ziadi ya kufurahisha nafsi yako mzee.
 
Kusema chombo eti ni kushusha thamani hiyo ni kwa mujibu wako wewe.

Sijaona wapi ukisema chombo ni kushusha thamani ?

Kwa mujibu wa nani kusema chombo cha starehe ni kushusha thamani ya mwanamke ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa muelewa mkuu.

Nimesema kwa mujibu wangu chombo ni sifa na sikukusudia chombo kifaa bali ni sifa hiyo.

Kwani mtu akisema "umekiona chombo kilee?"
Alafu akakusudia mwanamke hapa ina maana ya kweli mwanamke ni chombo ama chombo ni sifa tuu?

Usilete sheria katika mambo ya kilugha boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mbona wanaume wengi wanalalamika kuwa wanawake wanapenda pesa ?? Unaelewa maana ya kuhudumia kiroho safi ??
 
Mbona dunia ya sasa wapo wanaume wengi wanaojiuza kwa wanawake ili wapate hela ?? Au mmeshakariri kwamba mtu kujiuza ni hadi ajipange barabarani ??
 

Kijana naona umeamua kubishana kwenye hamna.

Ubaya wa maana huendana na munasaba. Iko hivi kwa ujumla wa maana na tukienda mbali zaidi, hapo umesifia kimaana tu ila kiuhalisia hamna maana, huo ni upande chanya.

Lakini, tamko hilo hilo umelitumia vinaya kwa munasaba hasi, na hicho ni kitendi cha dhulma na udhalilishaji na hakina uhalisia vile vile.

Lakini, ajabu hujaona tofauti kati ya matumizi ya hizo kauli zako mbili, kisha unanitaka mimi niwe muelewa wakati wewe hata ulicho kiandika unashindwa kukimaizi. Hii ajabu huwa naiona humu jf.

Hakuna kitu ambacho hakiendi bila ya lugha, na maana ya kisheria ndio huwa ina nguvu sana kuliko maana ya kilugha.
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] mmhh
Kiumbe ambae tumeambiwa tukifanyie wema na tumpe kati ya yale tuliyoruzukiwa mara tatu zaidi ya baba unakiita chombo cha Starehe ?

Nani alikutangulia katika kauli hizi za kifedhuli ?
 
Vitabu vyetu vitakatifu vinabainisha hoja yako mkuu..mfano kimoja kuna mahali kinasema Adamu alionekana mpweke ndipo aliumbwa yule mwanamke kwa ubavu wake..Aliumbwa Mwanamke kwa tafsiri ya kumstarehesha mwanaume...Angeumbwa Mwanaume mwingine bado wote wangekuwa wapweke...Au siyo Mzee Baba...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FaizaFoxy njoo haraka iwezekanavyo kuna mada inahitaji Ushauri wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…