wako tena wengi kabisa acha kudhani kuwa wanawake wote hakuna asiye mwaminifu
hizo ni propaganda zenu wanaume na nyie ndo mna matatizo makubwa sana
we CALMAN hebu usituchoshe hapa. kama wewe unataka mwanamke mbumbumbu wapo wengi watafute utawapata
Umetusahau na wengine tunawake....tumetulia vizuri tu.
Naomba unijuze kirefu cha MMU
kwa hiyo inamaana wanawake hawana uhuru wa kutumia vyombo hivyo
na inaonesha wewe umetudharau sana tena unasema kuwa sie ni...........
nimeweka red hapo uelewe
hebu tengua kauli yako na utuombe radhi sasa huwezi kutupangia mipaka kiihivyo.
halafu what if mume mwenyewe ndio awe online muda wote.....
we CALMAN hebu usituchoshe hapa. kama wewe unataka mwanamke mbumbumbu wapo wengi watafute utawapata
sa mtoa mada sijui analalamika nini.......wakati mifano hai hiyo hapo
hakuna uhusiano kati ya kushindwana kwako na wanawake wanaotumia mitandao ya kijamii au wale wasiotumia.
Ni sawasawa na kusema hautawezana na mwanamke anayemiliki gari au nyumba. Unatatizo lako la kisaikolojia si mitandao ya kijamii.
unataka kunambia wale ke walioko hapa hawataolewa ama walioolewa wataachika?? 2. Unataka kunishawish kwamba yanayosemwa jf ama mitandao mingne yote yanamadhara hasi ktk mahusiano? 3. Unataka kuniaminisha kwamba hawa ke walioko kwenye hii mitandao akili zao hazina akili hadi washndwe kuchuja wayapatayo? 4. Unataka kuniaminisha kwamba kama wao mitandao itadhuru mtizamo wao kwenye mahusiano me watakuwa salama?
kutokujiamini
kutokujiamini
Kathread kamewatoa wamama povu sana. Mmeshaambia inayomhusu ujumbe umfikie, naona woote wanapovuka tu.
Ukisikia paa ujue????
maana kila mtakachozungumza lazima apeleke mtandaoni huku upo nae!
Babu tunakuheshimu ujue..... Ndani tukatazwe kutoka, saluni tukatazwe kwenda, sokoni nako khaaaaa!!!!
Sasa mmegeukia Mitandao ya kijamii.... Khaaaaaaa!!!!!! Mtuwache tupumuweeeeee miaka 900..........
Lengo ni kufikisha ujumbe kwa wahusika kama we co muhusika ya nin kujaa gesi kunambia nitengue kauli kama we ni muhusika message send ndo msimamo wang