- Thread starter
- #21
Inaonekana wewe unaogopa kufamaniwa kwenye mtandao!
It happens, nilishawahifumaniwa Jf, nili log in Jf nikasahau ku sign out, tena mbaya zaidi nilitumia simu yake, yangu haikuwa na chaji, kilichotokea hapo, naye amejiunga Jf, Id yangu anaifahamu, kila ninachokomment lazima akisome!
Hakawii kukufungulia uzi mtandao mwingne wa kijamii wakujadil