Mwanamke na matumizi ya mwili kama silaha…!

Mwanamke na matumizi ya mwili kama silaha…!

sasa huyu ndo Lady mwenyewe lady 2.jpgsi mnataka mtuone tukiwa kibantu tunakuwaje na hapa nimevaa kiheshima ongea sasa hapa

cc Mentor
halafu wewe ladyfurahia nakupigia simu mbona hupokei, unaogopa kutongozwa....?
 
Last edited by a moderator:
nani kasema kusubiri wox3??!?!?

mwenio siku moja navaa skini jinz yniende lthp.....sasa katika kuivuta ikachanika kabisa kwenye mshono wa katikati ya paja.....yani roho imeniuma jinz yangu manake haishoneki hapo!!!!

Na kaumbo kako kalivo katamu.......hata ukivaa gunia unapendeza Paloma.
 
Last edited by a moderator:

15.JPG

Lakini Mmetupia macho hapo kwenye hilo Camel toe
?
nimevutiwa nalo :A S-key:
 
Mtambuzi umesababisha watu wadiscuss picha badala ya hoja yako...hebu soma comments za "wanaume" humu utaniambia....
 
Last edited by a moderator:
ingawa wanasema biashara matangazo....ila pia wengine wanavaa hvyo kutokana na mapenzi yao....mavazi ya aina hiyo ndiyo wanayoyapendelea.....ingawa pia saa nyingine inabidi mtu awafikilie na wengine mfano kwenye harusi.....kuna watu wa umri mbalimbali mpaka wazee.....sasa unakuta mdada kapiga umini huo....duh hafu pembeni wewe umekaa na baba yako mpaka unaona aibu......ni vizuri tukienda sehemu kama hizo.....tuwafikilie na wengine mana kuna nguo nzuri tu ambazo unaweza ukavaa na ukatokelezea sana tu......
 
Kwa haya mkuu umenena ila mimi nafikiria tatizo ni kwamba baadhi ya mama zetu hawaelewi ni wakati nguo fulani ivaliwe. Natumai mama na dada zetu wataliangalia hili na kulirekebisha kwa kadiri watakavyoona inafaa.
 
Dah!Mi wacha leo niendelee kuwa mtazamaji zaidi!
 
Wengine hatuvai hovyo ila inapotokea umejisokia kuvaa nguo fupi, binafsi navaa kwa kupenda ila si kwasababu "l am selling my body out.."
Ila nikijuacho, wanawake tunapendeza saaaaana tukivaa nguo zenye maadili na hasa vitenge....
 
Back
Top Bottom