Tuliozoea kuvaa madira mbona hujatuwekea.
nyinyi? mimi iko penda sana nyinyi,penda penda kabisa!
Tuliozoea kuvaa madira mbona hujatuwekea.
Huyu wa kulia kanikumbusha Malkia wangu Heaven on Earth.![]()
Kwa hiyo na hawa wakivaa ndefu wanawashwa eh, si ni hivyo madame B?
Mzima wewe??
Hili ni litumbua na sio kitumbua......khaaaaaaaaaaa!!!
Kuna wanawake wengine huikwepa hii mentality ya Mtambuzi , hawajaenda shule, wana sura mbaya, hawana pesa, wana mishepu ya kufa mtu na hawavai nguo fupi wala za kubana, advantage yao kubwa ni kuitwa WIFE MATERIAL na huwekwa ndani haraka sana.
Hiyo picha ya 3 imenistimuletisha,zigo la huyo sisterii limetuna balaa.Mood yangu imeharika kbs.Jf mnachangia 100% watu kulack concentration makazini.
kwani mm ulinionaje siku ile ya kwanza kuja kwako Mtambuzi nilivaa kiheshima au sio kiheshima?
kujibu hujibu unabaki kulike like tu haaa!
halafu wewe ladyfurahia nakupigia simu mbona hupokei, unaogopa kutongozwa....?kujibu hujibu unabaki kulike like tu haaa!
Lady doctor, nampigia simu huyo ladyfurahia nimjibu lakini hapokei simu, nikimjibu humu JF nitachafua hali ya hewa...hahahaa...... Mtambuzi hebu mjibu cousin wangu bana utatuudhi ujue.
Lady doctor, nampigia simu huyo ladyfurahia nimjibu lakini hapokei simu, nikimjibu humu JF nitachafua hali ya hewa...