Mwanamke na matumizi ya mwili kama silaha…!

Mwanamke na matumizi ya mwili kama silaha…!

Ni kweli ila kuna mahali panazidi kipimo ....

Kama hao wadada...wanategemea sie tunaowaangalia tunakuwa na hali gani??

Babu DC!!

Nilijua Dark City lazima uje useme lolote.
Hahahahaah................naona raha mieeeeeeeeee.
Nisalimie yule Dereva wako,nimemmiss sana mwambie.
 
Last edited by a moderator:
Madame B nipo napasha kwa ajili ya kesho
Hahahaha.......... huyo ndio Mtambuzi bhana,.....anakupa kubwa, afu anakupuliza vile vile.
Mie tena,.........lazima nitimbe hapo LTHP!!!
najua mie ndio Daktari wako,.......naja kukupa tibabu.
Nitakuja kaka,usijali.
Huyo Bujibuji sijui anahemea wapi maana tangu tuachane ile kona yetu......mpaka leo.
 
Last edited by a moderator:
15.JPG


Jamani kuna wanawake wamebarikiwa vitumbua........
 
Ndo maana mimi huwa ninaamini na kusema kuwa hata TGNP wanapoteza muda tu kuwatetea hawa viumbe (maduu) kwani wangeanza kuelimishana wao kwa wao kwanza kabla ya kuja huku nje , kwani wao wenyewe ndo watu wa kwanza kuvunja sheria.
 
najua wewe humo na mimi simo.
Kuna wengine wamo labda hawajui ndo nawaambia wanakuwa ajabu la dunia

Wewe mwanamke wewe,........ngoja tuendelee.
Sasa ndugu yangu mpaka ukisubiri wowowo ndio uvae nguo za kubana,......litakuja leo?
Unajilipua tu.
 
Wewe mwanamke wewe,........ngoja tuendelee.
Sasa ndugu yangu mpaka ukisubiri wowowo ndio uvae nguo za kubana,......litakuja leo?
Unajilipua tu.

waende kariakoo mahips 20,000 na makalio bandia 25,000 wajazie jazie ndo wavae bana.
Japo hayatotingishika ila yatasaidia nguo kukaa sawa
 
Mimi mkristo lakini napenda uvaaji wa wanawake wa kiislaam isipokua lile vazi la kininja. Vazi la kininja limepitwa kabisa na wakati na sio la kiungwana. Kwenye hadhara sura ya mtu lazima ionekane na kuna sababu za msingi sheria kukataza mtu kuficha sura yake akiwa katika hadhara.
Hijab za kisasa na uvaaji mzuri wa kujisitiri hawafanya wanawake wa kiislaam hakika kupendeza kuliko mavazi ya kutembea nusu uchi.
 
0011.jpg


Si kama hivi Lady doctor, si unaona wamependeza tu...

The very same people, kesho wakivaa nguo fupi inamaana mapungufu yanatokea au?
Maana kwa mazingira niliyoyazoea; watu huvaa nguo kutokana na matukio. Kazini, misikitini, kanisani, club, beach, meetings, nguo zinakuwa tofauti.

Haya tufanye nakubaliana na wewe. Na wanaume wanafidia vipi mapungufu yao? Maana naamini mapungufu yapo kwa both sex.

Hizi theories sio 100% correct na some of them sio hata 50% correct. na vipi wenye sura kama angels na umbile baya kama langu na bado wanavaa nguo vupi na za kubana wanafidia nini na kuonesha nini?
 
Back
Top Bottom