Ni kweli kuwa kina dada wengi huwa tunaitumia njia hii lakini mara nyingi si vizuri kuishia hapa. Especially unapoona mwenzi wako amejitahidi mpaka anataka kukata tamaa, njia ekee ni hii ya kufake!! (Kama mpenzio si mwelewa maana mwingine waweza tu kumwambia kuwa Baby we endelea, just come, its ok, huku ukimpa company- nadhani naeleweka). But kwa sababu lengo na madhumuni ya tendo hili ni kufurahia wote ni vema akishaenda akafika, unamweleza (kama ni mwelewa) kuwa wewe bado. LAKINI kama si mwelewa, fanya kama umefika kisha ukishaona amepumzika vya kutosha..........piga hodi tena!! haikatazwi!
Duh kaazi kweli kweli...Hivi wanaume huwa wanajiuliza au kufikiri wapenzi/wake zao huwa wanajisikiaje (hisia zao zinakuaje) wasiporidhishwa (fikishwa kileleni)?
Ni kweli kuwa kina dada wengi huwa tunaitumia njia hii lakini mara nyingi si vizuri kuishia hapa. Especially unapoona mwenzi wako amejitahidi mpaka anataka kukata tamaa, njia ekee ni hii ya kufake!! (Kama mpenzio si mwelewa maana mwingine waweza tu kumwambia kuwa Baby we endelea, just come, its ok, huku ukimpa company- nadhani naeleweka). But kwa sababu lengo na madhumuni ya tendo hili ni kufurahia wote ni vema akishaenda akafika, unamweleza (kama ni mwelewa) kuwa wewe bado. LAKINI kama si mwelewa, fanya kama umefika kisha ukishaona amepumzika vya kutosha..........piga hodi tena!! haikatazwi!
mmmh....
mmmh....
Jamani hizi thread nyingine vipi?Are we really great thinkers.Yaani haya mambo ya chumbani kabisa.Hivi wanaume huwa wanajiuliza au kufikiri wapenzi/wake zao huwa wanajisikiaje (hisia zao zinakuaje) wasiporidhishwa (fikishwa kileleni)?
............Kwamba?! Usinambie nawe ni mwathirika?!
chief,lazma mchaga ww. ukiibiwa unastuka,tulia unyolewe banaa,lol!
Mimi ni mmama thus nitazungumzia from an assumption....
Naamini saana kua moja ya kigezo ya kipimo au sifa ya kuitwa mwanaume ni
ile uwezo wa kuweza mfikisha mwanamke kileleni... For na dhahiri kabisa kama kweli
anafikishwa ni mara chache saana huyo me atataka kutafuta watu wengine, labda iwe
for factors kama extra mpunga and the like... Hivyo basi hakuna kitu mwanaume wa
kweli na rijali inamfanya ajisikie mwanaume wa kweli kama kuweza kufikisha... hasa
ukizingatia majority wanawake ni kazi saana kufika kileleni - hivyo huitaji mwanume hasa!
Ndio maana moja ya technique ya wadada ni kujifanya kafika kiileleni hata kama bado - hasa
akihisi mpenziwe kaelemewa na wala hana ujanja wa kumfikisha; Thus the confused/misunderstanding
of men... anashindwa kuelewa kweli umefika au ni swagger tu! Na akiwa na hakika umefika,
it makes him feel strong and Man..... And of course it makes a woman feel like a woman.
Sawa kabisa.......ingawa malalamiko mengi ni kuwa muda wa mchezo wa mbele (foreplay) siku hizi umefupishwa sana huku wengine hawana huo muda.......nadhani pia kuna umuhimu wa kutathmini wakati wa shughuli na si kusubiri baada....... kuna wengine (natanguliza samahani iwapo hii itahamishiwa chumbani) wao akishaona ardhi mbichi juu basi, kama kakeremu vile, ni mbinu ile ile....anapima kwa kidole, akihisi dalili ya mafuta basi anasimika drilling machine!!.......saa ingine huwa ni dalili tu kuwa hapa kuna mafuta ....ukiamua kuchimba unaambulia gesi tu ya songosongo!!Duh kaazi kweli kweli...
kama wewe unajiona una stamina ya marathon kuliko mwenzako basi mnaweza mkafanya foreplay (warm-up) na kuhakikisha kwamba wewe unaanza safari kabla ya yeye kukujoin na kumaliza mashindano.
Sasa kama mwanamke mwenyewe ametahiriwa ndio inakuwaje? Manake hata ufanyeje hapati charge labada mara moja in 10 years!
Mila hizi!!
hahaha, issue sio mwathirika, MJ1, issue ni kwamba siwezi amini kama na wewe umeshawahi kutumia hiyo mbinu? Umekosa nini?
Sherrif kwani spot ya G huwa iko nje??
Kaizer hebu fafanua......kutofikishwa does it have to do with kukosa kitu?? Unless unambie kuna wanaume ambao yaani wao ni experts.....never miss!! au kufika au kutokufika nikunahusiana na maamuzi ya mwanamke!!
Good question, but kuna zaidi ya G spot au vipi....kale kajamaa kana umuhimu wake aiseee