Mwanamke mwenye mtoto/watoto, unapotafuta mume tafuta ambaye atakubaliana na hali yako

Ndio hivyo wazazi wake wamegoma hasa mzee wake na kaka yake mkubwa.
Hawamtakii mema mtoto wao.... binti atafute mdada wa kazi amuache hapo hapo kwa mzee wake.... akisettle atamchukua kwanza haipendezi ndoa mbichi kwenda na mtoto hata ingekua hapa hapa Nchini, mara zote watoto hubaki kwanza nyumbani hata mwezi.
 
Afu pia naona ujanielewa yani jamaa kagoka kabisa kumchukua mtoto.
Yani ni ile kuwa mimi silei watoto wa mwanaume mwingine.
Wakishakaa wakasomana vizuri atamchukua tu, bado mapema sana kujicommit... ni kweli mtoto wa mtu ana changamoto nyingi
 
Me nilimzalisha mwanamke akaolewa na mwanaune mwingne ila mpaka Leo bado namla kila nikitaka na mme wake yupo na wanalea mtoto wangu
 
Back
Top Bottom