Mwanamke Mwenye Kiuno Chembamba Kama Nyigu

Kwa hali hii ,,nampa pole na kwa mtazamo wa haraka picha yake amejitafutia umarufu kwa kujinyanyasa kwa muda mrefu mpaka kapata umarufu wa dunia ,,,,hongela yake kwakufikia lengo......chuma na kufunga mkanda kiunoni ndio mafanikio yake..:boink::boink:
 
599.jpg


Kutokana na jinsi kiuno chake kilivyo chembamba sana watu wengi ambao huona picha zake hudhania labda ni picha za kutengenezwa kwa kutumia photoshop lakini ukweli ni kwamba mwanamke huyu yupo kweli duniani na ndiye anayeshikilia rekodi ya dunia ya binadamu mwenye kiuno chembamba kuliko wote duniani. Pichani Cathie Jung mkazi wa Connecticut Marekani ndiye anayeshikilia rekodi ya kuwa na kiuno chembamba sana kuliko watu wote duniani akiwa na kiuno chenye ukubwa wa inchi 15 (sentimeta 3 tu)http://www.nifahamishe.com/photos_news.aspx?topic=145

Mtoa mada unajua urefu wa inchi 15 upoje na sentimita 3 upoje pia?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom