Mwanamke msaidie mumeo mahari apate mke mwingine

Mwanamke msaidie mumeo mahari apate mke mwingine

Ukewenza si uadui kama mnavyothaminishwa na jamii. Ni bora uke wenza kuliko kutokuwa na ndoa kabisa.

Vijana wakike na wakiume tusaidiane kwa pamoja kutokomeza uzinzi na uesherati kwa kukaribishana katika ndoa.

We binti wa kike ukimuona mwanamke mwenzio ambaye hana ndoa hebu jaribu kumshawishi mumeo amuoe ili naye apate nusra ya dini. Ikiwezekana msaidie hata mahari.

Tuishinde zinaa kwa pamoja

Naomba kuwasilisha.

Vipi mkuu,umetoka lini South?
 
Wapi nimeweka uzushi labda?
Code:
Halafu Nani anataka umasikini? Mtume mwenyewe kasema "ufakiri ni nusu ya ukafiri" Masikini hana dini, Hana msimamo ndo ukaona starehe anayoijua ni hiyo ya ngono tu[emoji1787]

Huo hapo ni uzushi kwa sababu,
JPEG_20231028_162924_-1045361734.jpg
JPEG_20231028_163423_315259420.jpg
JPEG_20231028_163720_2006916586.jpg
 
Uzuri ukoo uliobarikiwa sana na Mungu wako ni ukoo wa Yakobo(Israel),ulitokana na wanawake wanne.
Endelea kushikilia bomba la mke mmoja na huku kila kitanda cha gest house ulichofanyia uzinzi kikikushuhudia.
Kutokana na tamaa za miili yenu. Musa aliwaruhusu muoe mke zaidi ya mmoja ila tangu mwanzo haikuwa hivyo ( Adam + Eva).
Oa wake wengi ili upate kufanya ngono zaidi
 
Umejuaje sina hofu na Mola wangu? Kwa hiyo mwanamke anayehitaji pepo anatakiwa kuentartain umasikini sio, tena umasikini wa kuendekeza nyege za mume?
🤣🤣 Khadija (r.a) alikuwa tajiri kumbuka....na ni miongoni mwa wanawake Wema....na Mali zake zilisaidia kuukuza uislam.

Hizo Aya ulizoweka hazihusiani na mada kajipange upya
Una shida kubwa sana lkn pia unaonekana kuwa pure feminist..

Mche Allah ..
 
Swadakta ila kabla sijakufanyia huo mpango wa uoe mke wa pili je unani tosheleza sangine nguvu za chips mayai unataka kuongeza matumizi mengine akati mimi tu peke yangu hunitoshi


 kuoa ni nusu ya dini,ni sunna pia
Allah ajaalie kheri tuepukane na zinaa


KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
NDOA NI MUFILISI
NDOA NI GEREZA

CC: dronedrake
🤣🤣🤣
 
Nyie ndo mnatukanisha uislamu unaonekana dini ya ngono ngono tu....Kwa hiyo ndoa ni ajira au?

Badala ya kuwaza hao wanawake wawezeshwe wapewe elimu, wapewe mitaji na elimu ya biashara....mnawaza kuwatii...

Eti mke asaidie mahari, asaidie mumewe akachovye kwingine, halafu arudi achovye kwake[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wewe ungeweza hata kumpa mkeo nauli akachovywe kwingine?!!

Badala ya kuwaza mke achangie mtaji mfungue kampuni na biashara unawaza uchi....
Hata ukristo manabii na mitume wote wenye heshima ni wale waliooa wake wengi, pia dini za kikristo ndo zimezuia kuoa wake wengi ila bibilia imehimiza wanaume tuoe wake wengi kwa maana kama unamwamini mungu basi unaiamini bibilia kwahiyo kupingana na andiko lonalomhimiza mwanaume kuoa wake wengi ni kupingana naaandiko na nikupingana na mwenyezi mungu kasome kutoka 21:10
 
Swadakta ila kabla sijakufanyia huo mpango wa uoe mke wa pili je unani tosheleza sangine nguvu za chips mayai unataka kuongeza matumizi mengine akati mimi tu peke yangu hunitoshi


 kuoa ni nusu ya dini,ni sunna pia
Allah ajaalie kheri tuepukane na zinaa


KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
NDOA NI MUFILISI
NDOA NI GEREZA

CC: dronedrake
Itabidi uwe sekreti ndan ya KATAA NDOA LIMITED

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mke mmoja hawezi hata kumdu anachoweza ni kuungana na ndugu zake ili kuendesha ndoa yake hao wake wawili atawaweza wapi!
 
Achana naye hana anacho just zaidi ya kujibu kihemuko. Anatia shaka sizani kama ni mwislamu huyu ni kafiri tu
Kwa hiyo ahl Sunna wa Bonyokwa umeshindwa kujibu hoja ukaona unikufurishe🤣🤣🤣
Elimu yako imeishia kukufurisha waislam🤣🤣 Acha nikustiri, Kwa mdahalo zaidi njooni pm...."Atayemstiri ndugu yake, Allah atamstiri siku ya kiama"

Huna elimu ya kujibu hoja, ushauri wangu kasome mantiki ....hoja hazijibiwi Kwa jazba na matusi, mnazidi kufanya uislam uonekane dini ya jazba....kitu ambacho sio kweli.
 
Ujumbe Kwa wanawake wa kiislamu, Uislamu haujamkandamiza mwanamke hata chembe....umekuja kumpa haki, Ukisoma historia Mwanzo watu walikuwa wanaoa wanawake bila idadi ( utaona hata huku Afrika mababu walioa hata wanawake kumi), Uislamu umekuja kudhibiti idadi Kwa kuweka mwisho wake wanne....Ila hao wake wanne Kwa sharti, uwe muadilifu kwao.....Aya inamalizia ukishindwa kuwa muadilifu baki na mmoja.

Mwanzo watu walioa wake na hawakuwahudumia, si chakula wala mavazi....wake walijishughulikia.....Uislamu ukaweka ni lazima kumuhudumia mkeo kwa chakula na mavazi kiasi mume asipokupa pesa ya chakula makusudi una haki ya kudai talaka.....hii yote imewekwa ili kumwinua mwanamke.....ila wanaume Kwa ubinafsi wao haya mazuri hawayasemi, hawawafundishi wanawake haki zao.....Aya na hadithi wanazozitilia mkazo ni zile zinazowafavour wao na matamanio Yao.
I am a proud muslimah.....hata mkinikufurisha Masheikh wa Bonyokwaaa🤣🤣🤣🤣
 
Yani bora unyamaze hujui ata unaongea nn yani suala la kuoa unasema kimzaha tu ety ni sunna tu

Hii amri imetoka kwa Muumba na hakuna budi kwa mwenye uwezo ni lazima aoe unaposema hii ni sunna tu unasahau maneno ya mtume katika hiyo sunna kua na atakajiepusha na sunna yangu si katika sisi

Kwa kauli hiyo we mwanamke unapata wapi nguvu ya kuidharau sunna ya Mtume ndo mna nimekwambia ww ni mtupu kabisaa katika dini yako nenda ukasome we mwanamke Uislamu hauongozwi kwa matamanio bali kwa Elimu
Ww mwenyewe mtupu sioni unalolifahamu
 
Back
Top Bottom