Mwanamke msaidie mumeo mahari apate mke mwingine

Mwanamke msaidie mumeo mahari apate mke mwingine

Nyie ndo mnatukanisha uislamu unaonekana dini ya ngono ngono tu....Kwa hiyo ndoa ni ajira au?

Badala ya kuwaza hao wanawake wawezeshwe wapewe elimu, wapewe mitaji na elimu ya biashara....mnawaza kuwatii...

Eti mke asaidie mahari, asaidie mumewe akachovye kwingine, halafu arudi achovye kwake[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wewe ungeweza hata kumpa mkeo nauli akachovywe kwingine?!!

Badala ya kuwaza mke achangie mtaji mfungue kampuni na biashara unawaza uchi....
Mwanau kamili hajawahi kufikilia kuoa kwa kutaka asaidiwe kiuchumi na mke.Mwanaume yeye ndiye mtafuji wa uchumi wa familia,ni mwanaume mzembe na asiyethamini uanaume wake ndiyo uwaza kuoa mwanake wakusaidia uchumi.
 
Mimi mwenye elimu najua haki zangu na haki za mume wangu....najua mipaka ya haki na majukumu baina yetu. Siburuzwi Kwa hadith dhaifu na nadharia za kidarwesh....upo?

Halafu Nani anataka umasikini? Mtume mwenyewe kasema "ufakiri ni nusu ya ukafiri" Masikini hana dini, Hana msimamo ndo ukaona starehe anayoijua ni hiyo ya ngono tu[emoji1787]
Wewe uliyekosa hofu kwa Mola wako,ebu acha huo ujinga wako mbele ya hadhara hapa.Mwanamke anayehitaji pepo hawezi fikiria mali kwa kiwango chako wewe.

Mwenyezi Mungu amesema,

يَا أَيُّهَا النَّبِيُّ قُل لِّأَزْوَاجِكَ إِن كُنتُنَّ تُرِدْنَ الْحَيَاةَ الدُّنْيَا وَزِينَتَهَا فَتَعَالَيْنَ أُمَتِّعْكُنَّ وَأُسَرِّحْكُنَّ سَرَاحًا جَمِيلًا

(AL-AH'ZAB - 28)
Ewe Nabii! Waambie wake zako: Ikiwa mnataka maisha ya dunia na pambo lake, basi njooni, nitakupeni kitoka nyumba, na kukuacheni mwachano mzuri.

وَإِن كُنتُنَّ تُرِدْنَ اللَّهَ وَرَسُولَهُ وَالدَّارَ الْآخِرَةَ فَإِنَّ اللَّهَ أَعَدَّ لِلْمُحْسِنَاتِ مِنكُنَّ أَجْرًا عَظِيمًا

(AL-AH'ZAB - 29)
Na ikiwa mnamtaka Mwenyezi Mungu na Mtume wake na nyumba ya Akhera, basi Mwenyezi Mungu amewaandalia wafanyao mema, miongoni mwenu, malipo makubwa.

Sasa usitie hasarani kwa kiburi cha uhai anaokuruzuku Allah subhanah wataallah.
 
Ukiwenza si uadui kama mnavyothaminishwa na jamii. Ni bora uke wenza kuliko kutokuwa na ndoa kabisa.

Vijana wakike na wakiume tusaidiane kwa pamoja kutokomeza uzinzi na uesherati kwa kukaribishana katika ndoa.

We binti wa kike ukimuona mwanamke mwenzio ambaye hana ndoa hebu jaribu kumshawishi mumeo amuoe ili naye nusra ya dini. Ikiwezekana msaidie hata mahali.

Tuishinde zinaa kwa pamoja

Naomba kuwasilisha.

Tuko nawewe mwamba.
usijibishane na malighafi 📌📌🔨🔨
 
Wewe uliyekosa hofu kwa Mola wako,ebu acha huo ujinga wako mbele ya hadhara hapa.Mwanamke anayehitaji pepo hawezi fikiria mali kwa kiwango chako wewe.

Mwenyezi Mungu amesema,

يَا أَيُّهَا النَّبِيُّ قُل لِّأَزْوَاجِكَ إِن كُنتُنَّ تُرِدْنَ الْحَيَاةَ الدُّنْيَا وَزِينَتَهَا فَتَعَالَيْنَ أُمَتِّعْكُنَّ وَأُسَرِّحْكُنَّ سَرَاحًا جَمِيلًا

(AL-AH'ZAB - 28)
Ewe Nabii! Waambie wake zako: Ikiwa mnataka maisha ya dunia na pambo lake, basi njooni, nitakupeni kitoka nyumba, na kukuacheni mwachano mzuri.

وَإِن كُنتُنَّ تُرِدْنَ اللَّهَ وَرَسُولَهُ وَالدَّارَ الْآخِرَةَ فَإِنَّ اللَّهَ أَعَدَّ لِلْمُحْسِنَاتِ مِنكُنَّ أَجْرًا عَظِيمًا

(AL-AH'ZAB - 29)
Na ikiwa mnamtaka Mwenyezi Mungu na Mtume wake na nyumba ya Akhera, basi Mwenyezi Mungu amewaandalia wafanyao mema, miongoni mwenu, malipo makubwa.

Sasa usitie hasarani kwa kiburi cha uhai anaokuruzuku Allah subhanah wataallah.
Umejuaje sina hofu na Mola wangu? Kwa hiyo mwanamke anayehitaji pepo anatakiwa kuentartain umasikini sio, tena umasikini wa kuendekeza nyege za mume?
🤣🤣 Khadija (r.a) alikuwa tajiri kumbuka....na ni miongoni mwa wanawake Wema....na Mali zake zilisaidia kuukuza uislam.

Hizo Aya ulizoweka hazihusiani na mada kajipange upya
 
Mwanau kamili hajawahi kufikilia kuoa kwa kutaka asaidiwe kiuchumi na mke.Mwanaume yeye ndiye mtafuji wa uchumi wa familia,ni mwanaume mzembe na asiyethamini uanaume wake ndiyo uwaza kuoa mwanake wakusaidia uchumi.
Ila it's right kuchangiwa mahari akaoe, Ila kuchangiwa uchumi hapana🤣🤣🤣🤣
 
Hijab ni amri ya Allah....ila hii kuoa oa ni Sunna wala si lazima.....
Mimi sijapingana na Dini, namuelewesha mtoa mada.

Tatizo hawawaambii wanawake yote, wanatumia hizo Sheria zinazowafavour wao wanaume kuwanyanyasa....Mbona hawasemi mke ana haki ya kudai talaka Kama mume hamfikishi? Utawasikia wanasema wavumilie🤣🤣🤣 Wakati kuna wanaume huko nje wana nguvu na upwiru hadi wanabaka kuku🤣🤣🤣 wao wanawaza makahaba tu🤣🤣🤣
Mpango wa Mungu ni mume 1 + mke 1 = Adam na Eva
Kutokana na tamaa za wanadamu, Mussa aliwaruhusu kuoa wake wengi ila tangu mwanzo haikuwa hivyo. Ila kumbuka kipindi kile watu walikuwa wanaishi porini na kuoa wanawake wengi ilikuwa ni kupata nguvu kazi. Sasa wewe ni fundi ujenzi unaoa mwanamke zaidi ya mmoja, watoto wanasoma kayumba, ndani hata TV hauna yaani hauna uwezo wa kununua. Kuoa mke mmoja kwasasa ni tamaa ya ngono tu.
Ngono ni sehemu ndogo sana ya ndoa na inamchango mdogo sana japo ni muhimu.
Kuongea kwa kuelewana, uaminifu, upendo, kuheshimiana, namna ya kutatua changamoto na upangiliaji wa majukumu mzuri ndiyo utawafanya muishi pamoja kwa amani.
  • Mume ameyumba kiuchumi, mke kamkimbia
  • Mume akirudi, ukali km wote
  • Mke naye anamtupia lawama mwanaume hamridhishi
  • Mke naye anakuwa km kichwa cha familia n.k
Kaa na mwenzako, muulize shida nini mbona kwenye 6*6 unakuwa haueleweki. Hapo mtapata muafaka ila kama wote hamuelewani, utatafuta mchepuko na mwisho wa siku ndoa inavunjika.
Dunia hii huwezi kumpata mtu aliyekamilila 100% ila utatuzi wa changamoto zenu ndizo zitafanya muishi kwa amani na upendo.
 
Umejuaje sina hofu na Mola wangu? Kwa hiyo mwanamke anayehitaji pepo anatakiwa kuentartain umasikini sio, tena umasikini wa kuendekeza nyege za mume?
[emoji1787][emoji1787] Khadija (r.a) alikuwa tajiri kumbuka....na ni miongoni mwa wanawake Wema....na Mali zake zilisaidia kuukuza uislam.

Hizo Aya ulizoweka hazihusiani na mada kajipange upya
Nimekunasihi ujichunge kwa kuongeongea bila ya kichunga mipaka ya Dini.Unapoleta jambo la dini,ni vema ukajiepusha na uzushi.
 
Kwa wanawake wa kikristo hicho kitu si desturi yao, huo ni uzinzi ni dhambi. Kwa wanawake wa kiislam na wenye kufuata desturi za wake wengi hapo poa ushauri huu unawahusu
 
Kuoa wake wengi ni faida kwa mwanaume sasa mkeo akiwa P na ww upo P ?
Mkeo akijifungua na ww unakaa likizo ya uzazi hhhhhhhhhh dah Muumba ana hekma sana katika hili
Naona ngono unaipigia chapuo. Nilitegemea labda atamsaidia kupika, kuogesha watoto, kwenda shambani, kuangalia mifugo au kukaa dukani.
Hapa umewaza ngono ngono ngono ngono. Huyu akiwa Period, ukafanye ngono na huyu, yule akiwa period ukafanye ngono na huyu.
Huyo muumba wako atakuwa anapenda ngono sana na anawaza kufanya ngono muda wote.
Hakuna la maana ulilowaza zaidi ya ngono.
Pole sana
 
Nyie ndo mnatukanisha uislamu unaonekana dini ya ngono ngono tu....Kwa hiyo ndoa ni ajira au?

Badala ya kuwaza hao wanawake wawezeshwe wapewe elimu, wapewe mitaji na elimu ya biashara....mnawaza kuwatii...

Eti mke asaidie mahari, asaidie mumewe akachovye kwingine, halafu arudi achovye kwake[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wewe ungeweza hata kumpa mkeo nauli akachovywe kwingine?!!

Badala ya kuwaza mke achangie mtaji mfungue kampuni na biashara unawaza uchi....
Soma mada uielewe sio kukurupuka kujibu majibu machafu. Sijazungumzia ngona nimezungumzia ndoa. Ndoa ni kitu kipana zaidi ya ngono. Ndio maana kuna kitu kinaitwa maisha ya ndoa. Kama akili zako zinawaza ndoa ni ngono na ajira tu basi wewe huna unachojuwa kuhusu ndoa.
 
Muhimu ni hadithi sahihi Sawa? Kuhusu usomi wangu twende jukwaa la dini, hapa Leo nawasanua wanaume wapenda ngono wanaotumia kivuli cha dini kuichafua na kumchafua Mtume wetu kipenzi.

Hivi unajua mtume alioa wanawake wengine hakulala nao?

Na Kwa utaratibu wa kale watu walitumia ndoa kutafuta influence ya jamii mbali mbali....ndo ukaona watawala, wafalme walioa huku na kule, kuunga udugu na kutafuta influence...so as Muhammad (s.a.w) did.

Sasa wewe hata ujumbe wa nyumba kumi huna unataka kujirundikia nyuchi....huku huwezi kuzitunza....mke anavaa jilbab moja miakaa.....au ndo unatembelea Ile hadith dhaifu maisha yakiwa magumu ongeza mke[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaonekana haya hadithi za mtume huzijui ndio maana majibu yako ni ya kukurupuka bila kufikiri unachokizungumza. Pumbavu waheed
 
Nimeichukulia personal Kwa sababu nimechoka kuona uislamu unadhalilishwa na mtume anadhalilishwa kisa waendekeza nyege.

Kwa hiyo njia kuu ya kuzuia zinaa mi kuoa mitala? Kwani hamna wake za watu wanaozini? Hamna lingine mnaloweza kulitukuza katika uislamu zaidi ya kuongeza wake, tena wake ambao hamuwezi kuwatunza wala kuwafanyia uadilifu.

Binafsi swala la kuoa wake wawili au zaidi hata niwe nauwezo mkubwa kiuchumi siliwezi yani kila hata nikiwaza naona sio kitu kwangu hakifai kabisa, but siwezi kuhukumu wanawake wanaolewa mitala na wanaume wanao fanya Mathna maana nichaguo lao wao wameona wanaweza kushare kama ilivyoelekeza.

Njia zipo nyingi za kuondoa zinaa ila napata wasiwasi unaposema haiwezi kuisha, kuoa mitala sio fimbo kwa mke mkubwa chamsingi kabla yakuoa ni kubaliana na mwenyeji wa mke mdogo mkielewana unaoa, sioni shida hapo, ila mi naona issue we ni ant-mathnic yani upo tayari kupinga mitala hata kwa wanao weza kufanya hata kwa kupindisha maelekezo ya dini ili upate relief/amani kweye moyo wako.

We mmewako akiongeza mke ni atakua kajiwashia moto.
 
Yani bora unyamaze hujui ata unaongea nn yani suala la kuoa unasema kimzaha tu ety ni sunna tu

Hii amri imetoka kwa Muumba na hakuna budi kwa mwenye uwezo ni lazima aoe unaposema hii ni sunna tu unasahau maneno ya mtume katika hiyo sunna kua na atakajiepusha na sunna yangu si katika sisi

Kwa kauli hiyo we mwanamke unapata wapi nguvu ya kuidharau sunna ya Mtume ndo mna nimekwambia ww ni mtupu kabisaa katika dini yako nenda ukasome we mwanamke Uislamu hauongozwi kwa matamanio bali kwa Elimu
Achana naye hana anacho just zaidi ya kujibu kihemuko. Anatia shaka sizani kama ni mwislamu huyu ni kafiri tu
 
Mpango wa Mungu ni mume 1 + mke 1 = Adam na Eva
Kutokana na tamaa za wanadamu, Mussa aliwaruhusu kuoa wake wengi ila tangu mwanzo haikuwa hivyo. Ila kumbuka kipindi kile watu walikuwa wanaishi porini na kuoa wanawake wengi ilikuwa ni kupata nguvu kazi. Sasa wewe ni fundi ujenzi unaoa mwanamke zaidi ya mmoja, watoto wanasoma kayumba, ndani hata TV hauna yaani hauna uwezo wa kununua. Kuoa mke mmoja kwasasa ni tamaa ya ngono tu.
Ngono ni sehemu ndogo sana ya ndoa na inamchango mdogo sana japo ni muhimu.
Kuongea kwa kuelewana, uaminifu, upendo, kuheshimiana, namna ya kutatua changamoto na upangiliaji wa majukumu mzuri ndiyo utawafanya muishi pamoja kwa amani.
  • Mume ameyumba kiuchumi, mke kamkimbia
  • Mume akirudi, ukali km wote
  • Mke naye anamtupia lawama mwanaume hamridhishi
  • Mke naye anakuwa km kichwa cha familia n.k
Kaa na mwenzako, muulize shida nini mbona kwenye 6*6 unakuwa haueleweki. Hapo mtapata muafaka ila kama wote hamuelewani, utatafuta mchepuko na mwisho wa siku ndoa inavunjika.
Dunia hii huwezi kumpata mtu aliyekamilila 100% ila utatuzi wa changamoto zenu ndizo zitafanya muishi kwa amani na upendo.
Unatumia maandiko na unaleta maoni ya kibinadamu ukidhani Mussa alijiamulia mambo yeye mwenyewe.
Kwanza ni lazima ujue kabla ya Mussa tayari ndoa za wake wengi zilikuwepo na Mungu alitoa baraka kwa vizazi hivyo.

Yakobo(Israel) alikuwa na wake wanne,Lea,Rahel,Zilpa na Bilha.
Kabila 12 za wana wa Israel zinatokana na wanawake hao wanne.
Kumbuka Yakobo(Israel)aliishi miaka mingi sana kabla ya ya Mussa.
Sasa unaposema ni Mussa ndiye aliyeruhusu mitala,unakuwa unajidanganya wewe mwenyewe.
 
Naona ngono unaipigia chapuo. Nilitegemea labda atamsaidia kupika, kuogesha watoto, kwenda shambani, kuangalia mifugo au kukaa dukani.
Hapa umewaza ngono ngono ngono ngono. Huyu akiwa Period, ukafanye ngono na huyu, yule akiwa period ukafanye ngono na huyu.
Huyo muumba wako atakuwa anapenda ngono sana na anawaza kufanya ngono muda wote.
Hakuna la maana ulilowaza zaidi ya ngono.
Pole sana
Uzuri ukoo uliobarikiwa sana na Mungu wako ni ukoo wa Yakobo(Israel),ulitokana na wanawake wanne.
Endelea kushikilia bomba la mke mmoja na huku kila kitanda cha gest house ulichofanyia uzinzi kikikushuhudia.
 
Back
Top Bottom