Mwanamke msaidie mumeo mahari apate mke mwingine

Mwanamke msaidie mumeo mahari apate mke mwingine

Swadakta ila kabla sijakufanyia huo mpango wa uoe mke wa pili je unani tosheleza sangine nguvu za chips mayai unataka kuongeza matumizi mengine akati mimi tu peke yangu hunitoshi

 kuoa ni nusu ya dini,ni sunna pia
Allah ajaalie kheri tuepukane na zinaa

KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
NDOA NI MUFILISI
NDOA NI GEREZA
Hahhahaha aione dronedrake
 
Mimi mwenye elimu najua haki zangu na haki za mume wangu....najua mipaka ya haki na majukumu baina yetu.....siburuzwi Kwa hadith dhaifu na nadharia za kidarwesh....upo?

Halafu Nani anataka umasikini? Mtume mwenyewe kasema "ufakiri ni nusu ya ukafiri" Masikini hana dini, Hana msimamo.....ndo ukaona starehe anayoijua ni hiyo ya ngono tu[emoji1787]

Lakini sioni kosa la mtoa mada maana lengo lake lilikua ni kukata zinaa kwenye jamii ila ilo swala la kuwaelimisha wanawake na kufanya kua na kipato chao ni tofauti na swala la zinaa sema labda ukumwelewa vizuri au mimi ndo sijaelewa[emoji848]
 
Huyu mama ana mwazo negative na mtoa mada
 
Nyie ndo mnatukanisha uislamu unaonekana dini ya ngono ngono tu....Kwa hiyo ndoa ni ajira au?

Badala ya kuwaza hao wanawake wawezeshwe wapewe elimu, wapewe mitaji na elimu ya biashara...

Mmm, najaribu kuwaza, kwani elimu,mitaji na biashara kwa ujumla zinauhusiano gani kwenye swala la zinaa? Maana kama ndo ivo nchi za maghalibi zingekua hazina zinaa kabisa maana uko wanawake wengi wanapewa ivo vitu ulivisema hapo juu.

Mtoa mada mlengo wake ulikua ni kukataa zinaa kuichukia na namna ya kuiondoa thatswhy kaja na iyo solution kua nivizuri wadada wakasitiriwa na wanaume hata ikibidi kua mke mwenza ila watu wasizini je mbona umemjia kwa jazba na ukali naona umeichukulia personal sana.
 
Swadakta ila kabla sijakufanyia huo mpango wa uoe mke wa pili je unani tosheleza sangine nguvu za chips mayai unataka kuongeza matumizi mengine akati mimi tu peke yangu hunitoshi

 kuoa ni nusu ya dini,ni sunna pia
Allah ajaalie kheri tuepukane na zinaa

KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
NDOA NI MUFILISI
NDOA NI GEREZA

CC: dronedrake
Huyo mboni ana mke na watoto .
Msimuamini anaponadi kukataa ndoa.
 
Nilikua nakuangalia tu kumbe mbumbumbu tu huna ulijualo kwenye dini yako hlf kelele nyingiii ety mm najua hadithi dhaifu kwanza iyo hadithi uloitaja haipo na kama huamini niletee kitabu kimoja tu chenye hio hadithi...
Kutoolewa sio justification ya kuuza mwili, hata watu waoe wanawake Mia Mia ukahaba hauwezi kuisha.....halafu Mimi sio mbinafsi, Ila ni mwanamke naejielewa. Siwezi kuendekeza umasikini kisa nyege za mtu.

Pia kuna mazingira yanafanya au yanalazimu mume kuongeza mke Kama vile mke hazai, ref Sarah na Ibrahim, maradhi yanayozuia tendo la ndoa nk. Sio vikikuwasha unaongeza mke, huku uwezo huna🤣🤣🤣🤣

Wewe unajisifia kusoma dini ya kuongeza nyuchi🤣🤣🤣🤣 Rudi kasome dini, sio kukariri kiarabu....kasome mantiki..... We mweupe sana, you can't master my League.....kumbuka siku hizi kuna Gono na Kaswende.....we endekeza nyeghe tu.
 
Lakini sioni kosa la mtoa mada maana lengo lake lilikua ni kukata zinaa kwenye jamii ila ilo swala la kuwaelimisha wanawake na kufanya kua na kipato chao ni tofauti na swala la zinaa sema labda ukumwelewa vizuri au mimi ndo sijaelewa[emoji848]
Kosa la mtoa mada ni kuonea na kuumiza hisia za wanawake wa kiislamu, eti mke achangie mahari mume akachovye kwingine, ye angeweza🤣 Hapo ukute anamdanganya mkewe na vihadithi dhaifu🤣🤣🤣
 
Mmm, najaribu kuwaza, kwani elimu,mitaji na biashara kwa ujumla zinauhusiano gani kwenye swala la zinaa? Maana kama ndo ivo nchi za maghalibi zingekua hazina zinaa kabisa maana uko wanawake wengi wanapewa ivo vitu ulivisema hapo juu.

Mtoa mada mlengo wake ulikua ni kukataa zinaa kuichukia na namna ya kuiondoa thatswhy kaja na iyo solution kua nivizuri wadada wakasitiriwa na wanaume hata ikibidi kua mke mwenza ila watu wasizini je mbona umemjia kwa jazba na ukali naona umeichukulia personal sana.
Nimeichukulia personal Kwa sababu nimechoka kuona uislamu unadhalilishwa na mtume anadhalilishwa kisa waendekeza nyege.

Kwa hiyo njia kuu ya kuzuia zinaa mi kuoa mitala? Kwani hamna wake za watu wanaozini? Hamna lingine mnaloweza kulitukuza katika uislamu zaidi ya kuongeza wake, tena wake ambao hamuwezi kuwatunza wala kuwafanyia uadilifu.
 
Kosa la mtoa mada ni kuonea na kuumiza hisia za wanawake wa kiislamu, eti mke achangie mahari mume akachovye kwingine, ye angeweza[emoji1787] Hapo ukute anamdanganya mkewe na vihadithi dhaifu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi unaposema vihadithi dhaifu una maana gani?
Kwamba hizo hadithi ni za uzushi, au Zina uharamu Fulani?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Swadakta ila kabla sijakufanyia huo mpango wa uoe mke wa pili je unani tosheleza sangine nguvu za chips mayai unataka kuongeza matumizi mengine akati mimi tu peke yangu hunitosh...
Ndoa huwa ni kumnufaisha mwanamke.
Ndoa ni kitega uchumi cha mwanamke
 
Nimeichukulia personal Kwa sababu nimechoka kuona uislamu unadhalilishwa na mtume anadhalilishwa kisa waendekeza nyege.

Kwa hiyo njia kuu ya kuzuia zinaa mi kuoa mitala? Kwani hamna wake za watu wanaozini? Hamna lingine mnaloweza kulitukuza katika uislamu zaidi ya kuongeza wake, tena wake ambao hamuwezi kuwatunza wala kuwafanyia uadilifu.
Dini inaruhusu kuoa wake zaidi ya 3. Unapingana na dini ya haki?

Ungekuwa Iran, tungekusahau maana kule binti wa kiislamu hakufunika kichwa akauliwa kwa kukiuka misingi ya uislamu.
 
Kutoolewa sio justification ya kuuza mwili, hata watu waoe wanawake Mia Mia ukahaba hauwezi kuisha.....halafu Mimi sio mbinafsi, Ila ni mwanamke naejielewa.....siwezi kuendekeza umasikini kisa nyege za mtu.

Pia kuna mazingira yanafanya au yanalazimu mume kuongeza mke Kama vile mke hazai, ref Sarah na Ibrahim, maradhi yanayozuia tendo la ndoa nk.....Sio vikikuwasha unaongeza mke, huku uwezo huna[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wewe unajisifia kusoma dini ya kuongeza nyuchi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Rudi kasome dini, sio kukariri kiarabu....kasome mantiki..... We mweupe sana, you can't master my League.....kumbuka siku hizi kuna Gono na Kaswende.....we endekeza nyeghe tu.
Nimekujibu mengine naona umeyaruka kabisaaaa jibu hoja usilete viroja
 
Dini inaruhusu kuoa wake zaidi ya 3. Unapingana na dini ya haki?
Ungekuwa Iran, tungekusahau maana kule binti wa kiislamu hakufunika kichwa akauliwa kwa kukiuka misingi ya uislamu.
Hijab ni amri ya Allah....ila hii kuoa oa ni Sunna wala si lazima.....
Mimi sijapingana na Dini, namuelewesha mtoa mada.

Tatizo hawawaambii wanawake yote, wanatumia hizo Sheria zinazowafavour wao wanaume kuwanyanyasa....Mbona hawasemi mke ana haki ya kudai talaka Kama mume hamfikishi? Utawasikia wanasema wavumilie🤣🤣🤣 Wakati kuna wanaume huko nje wana nguvu na upwiru hadi wanabaka kuku🤣🤣🤣 wao wanawaza makahaba tu🤣🤣🤣
 
Hijab ni amri ya Allah....ila hii kuoa oa ni Sunna wala si lazima.....
Mimi sijapingana na Dini, namuelewesha mtoa mada.

Tatizo hawawaambii wanawake yote, wanatumia hizo Sheria zinazowafavour wao wanaume kuwanyanyasa....Mbona hawasemi mke ana haki ya kudai talaka Kama mume hamfikishi? Utawasikia wanasema wavumilie[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wakati kuna wanaume huko nje wana nguvu na upwiru hadi wanabaka kuku[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wao wanawaza makahaba tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani bora unyamaze hujui ata unaongea nn yani suala la kuoa unasema kimzaha tu ety ni sunna tu

Hii amri imetoka kwa Muumba na hakuna budi kwa mwenye uwezo ni lazima aoe unaposema hii ni sunna tu unasahau maneno ya mtume katika hiyo sunna kua na atakajiepusha na sunna yangu si katika sisi

Kwa kauli hiyo we mwanamke unapata wapi nguvu ya kuidharau sunna ya Mtume ndo mna nimekwambia ww ni mtupu kabisaa katika dini yako nenda ukasome we mwanamke Uislamu hauongozwi kwa matamanio bali kwa Elimu
 
Kwa hiyo mtu asipooa na wala hazini anapata dhambi? Kama mtu asipovaa hijab?

🤣🤣🤣 Yaani kuoa wake wanne wanne ni amri ya lazima, na usopooa wake wanne unapata dhambi?

Hebu wewe Msomi ziweke hapa Aya za ndoa na hijab halafu tuzichambue Kwa mantiki.....somo ambalo limekupitia kushoto, we umesoma kukariri tu🤣🤣🤣

Haya Kama kila Sunna ni Sunna....kanunue ngamia utembelee badala ya gari.....

Uislamu ni dini inayoenda na wakati, katika ulimwengu huu uliojaa maradhi, HPV na Cancer mnawalazimisha wanawake kushare, tena Kwa kuchangia mahari🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom