Mwanamke mmoja hamtoshi mwanaume

Mwanamke mmoja hamtoshi mwanaume

Mimi binafsi siwezi kuwa na demu mmoja SIWEZI NA SITAWEZA AMEN..na demu wangu staki awe na mimi peke angu coz atanizoea then mapenzi yataanza kuboa
 
Wanaume hawaelewi kitu kimoja tu kuwa mtu akiolewa anamajukumu mengi nyumba , nguo , kazi, bado chakula upike kwa maana hapiki wala hajishughulishi na kitu chochote yeye hudai vitu tu kama hotelini usiku mtu amechoka kama punda ila kama umewekewa wasaidizi kila kona hakuna shida kutoa mbususu kwa sababu unanguvu na muda .
Sasa hela zenu mnazopata ndio mnunuage hizo dishwasher washing mashine na miwage mnawaroa waume zenu outing ili mbaki na nguvu za kucheza na de libolo
 
Mimi binafsi siwezi kuwa na demu mmoja SIWEZI NA SITAWEZA AMEN..na demu wangu staki awe na mimi peke angu coz atanizoea then mapenzi yataanza kuboa
Kweli kabisa. Mwanamke ambaye hatombwi na wanaume wengine anaboa sana. Hamna excitement kwa hiyo relationship. Make me feel jealous let us fight and make up hiyo ndio raha ya relatioship.
 
Kweli kabisa. Mwanamke ambaye hatombwi na wanaume wengine anaboa sana. Hamna excitement kwa hiyo relationship. Make me feel jealous let us fight and make up hiyo ndio raha ya relatioship.

Safu kabisa mkuu
 
Hakuna mwanamke anayeweza kuhimili jitihada za mwanaume kamili. Kila siku wanakuwa na sababu za kutoshiriki.

Sasa ni wakati muafaka kuwa na wanawake wengi ili kupunguza ugomvi na mauaji yanayoendelea nchini kutokana na mahusiano na mapenzi.
Nakazia🔨
 
Akili kila mtu anazake .
Ni hilo tu
 
wawe wawili tena huyu mmoja ndo kila saa kupekuwa simu yake nani anawasiliana nae mkuu wanawake wengi wanachepuka kutokana na kukosa mapenzi kitandani na hata ndani ya nyumba wazia wawe wawili utawaweza kweli
Sababu kubwa ya mwanamke kuchepuka sio mapenzi kitandani. Bali kwakila stage ya utoshelevu aliyojipangia akishaifika huona haitoshi hivyo huona kuwa upande ule ni bora kuliko wasasaivi, hivyo huchepuka. Kwaujumla mwanamke kutosheka ni ngumu. Pia ni pamoja na higher expectations alizozitegemea akiingia ndoani au kwenye mahusiano, zisipofikiwa huruka kwingine ila mwishowe hutulia baada ya ukomavu wa akili.
 
Hakuna mwanamke anayeweza kuhimili jitihada za mwanaume kamili. Kila siku wanakuwa na sababu za kutoshiriki.

Sasa ni wakati muafaka kuwa na wanawake wengi ili kupunguza ugomvi na mauaji yanayoendelea nchini kutokana na mahusiano na mapenzi.
Hii mada umeongelea upande wa starehe za ngono tu bali hujachukulia majukumu halisi ya mwanaume kwenye ndoa. Maana mpaka miaka 30 mihemuko ya kimapenzi inaisha karibu yote unawaza maendeleo ya familia yako, tena kwa uchumi huu, endekeza starehe watoto wako waje walitemee mate kaburi lako. Ukifika 45 hutajivunia wanawake wengi hata siku hii moja bali utajivunia familia bora na watoto wenye future.
 
Kuwa nao wengi haimaanishi uwe na familia nyingi. Unakuwa na makoloni tu ambapo unapata raw materials.
Hayana faida maana utayachoka tu. Kila kitu kwa kiasi, kitakachokupa nguvu ya kuendelea nikuona watoto wako wakiendelea kimaisha tu ila starehe za muda mfupi zinaua kama madawa ya kulevya tu.
 
Hakuna mwanamke anayeweza kuhimili jitihada za mwanaume kamili. Kila siku wanakuwa na sababu za kutoshiriki.

Sasa ni wakati muafaka kuwa na wanawake wengi ili kupunguza ugomvi na mauaji yanayoendelea nchini kutokana na mahusiano na mapenzi.
Mim niliwaambia humu wakanipinga kwa maneno ya kejeli eti nilipie tangazo
 
Back
Top Bottom