Mwanamke mmoja hamtoshi mwanaume

Mwanamke mmoja hamtoshi mwanaume

Hakuna mwanamke anayeweza kuhimili jitihada za mwanaume kamili. Kila siku wanakuwa na sababu za kutoshiriki.

Sasa ni wakati muafaka kuwa na wanawake wengi ili kupunguza ugomvi na mauaji yanayoendelea nchini kutokana na mahusiano na mapenzi.
Ni kweli kabsa usemalo ase mwanamke mmoja atosh kwa mwanaume kamil kabsa weng katika tendo wakichoka kushiriik tens inakua ugomv
 
Wengi wetu bila baba zetu kuongeza wake wengine au kuchepuka tusingekuwepo duniani kabisa.
Ila tunajifanya kumkosoa jamaa ili tuonekane hatuchepuki.
 
Huwa nahisi wote wanohanikiza haya mambo ya mahusiano ya zaidi ya mke wa ndoa huwa either wamejikamilisha kwa kila kitu au umri wao wa majukumu makubwa haujafika.

Nikifikiria nilipe ada za watoto shule (wawili mmoja bado mdogo),niwawekee akiba yao in case kesho sipo,walale pazuri,wale vizuri wa-enjoy uwepo wangu kama baba kila kitu wapate on time mzazi wangu(ninae mmoja)alale pazuri ale vizuri nimfanyie japo nusu ya aliyonifanyia mimi bado sijafanya yale ninayoyapenda na yanayonizunguka ktk jamii ninayoishi sijioni bado nikiwa na uwezo wa ku-spend japo 100K na mtu tofauti nje ya circle ya maisha yangu.

Labda ipo namna nyengine huwa wanafanya?
Ukiona hivyo ujue unapaswa kubaki na mmoja tu.
Na uwe mwaminifu kwake.
 
Back
Top Bottom