Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 25,622
- 69,360
Kula kunya kulalaK 3 ndio nini?
Kula kunya kulalaK 3 ndio nini?
Ndio natumia makalio, ila ww nadhani unatumia tundu la kati ya makalio kuwaza na kuwazuaUnatumia makalio kufikiri?
Mkuu hujakosea,, mtu mwenye majukumu haswa Hawezi kuja humu na utumbo wa kiwango hiki.Kula kunya kulala
😂😂😂 Ndo Raha ya ugali wa shikamoo ukishashiba ni kuwaza ngono km mtoa madaMkuu hujakosea,, mtu mwenye majukumu haswa Hawezi kuja humu na utumbo wa kiwango hiki.
😜Hivi huyu ndio mrembo to yeye??
Wewe labda ukahudumie wanaume wenzio ila hata mwanamke mmoja humuweziSingle moms mna stress sana
Mwanaume kama wangu hatosheki ila kweli kama unawaza hela na mikakati ya maendeleo unaweza wangu hawazi yeye anawaza sketi tu hadi keroo .Hakuna mwanamke anayeweza kuhimili jitihada za mwanaume kamili. Kila siku wanakuwa na sababu za kutoshiriki.
Sasa ni wakati muafaka kuwa na wanawake wengi ili kupunguza ugomvi na mauaji yanayoendelea nchini kutokana na mahusiano na mapenzi.
Wanaume hawaelewi kitu kimoja tu kuwa mtu akiolewa anamajukumu mengi nyumba , nguo , kazi, bado chakula upike kwa maana hapiki wala hajishughulishi na kitu chochote yeye hudai vitu tu kama hotelini usiku mtu amechoka kama punda ila kama umewekewa wasaidizi kila kona hakuna shida kutoa mbususu kwa sababu unanguvu na muda .Wanabania kitu ambacho ndiyo sababu ya kuolewa?
Afadhali umekuwa mkweli. Mpatie shem kijakazi wako ili asiende mbali.Mwanaume kama wangu hatosheki ila kweli kama unawaza hela na mikakati ya maendeleo unaweza wangu hawazi yeye anawaza sketi tu hadi keroo .
Ila kama unafamilia iliyokamilika sawa tu maisha yataenda
Kwani anasema siunaona tuAfadhali umekuwa mkweli. Mpatie shem kijakazi wako ili asiende mbali.
ImeumanaNisaidie kuichomoa
Jitahidi umalize kazi zako mapema ili umhudumie asiwe na michepuko mingi.Wanaume hawaelewi kitu kimoja tu kuwa mtu akiolewa anamajukumu mengi nyumba , nguo , kazi, bado chakula upike kwa maana hapiki wala hajishughulishi na kitu chochote yeye hudai vitu tu kama hotelini usiku mtu amechoka kama punda ila kama umewekewa wasaidizi kila kona hakuna shida kutoa mbususu kwa sababu unanguvu na muda .
Kwani hadi leo una mwanamke mmoja tu? Hiyo ni roho mbaya,wanawake ni wengi zaidi ya wanaumeHakuna mwanamke anayeweza kuhimili jitihada za mwanaume kamili. Kila siku wanakuwa na sababu za kutoshiriki.
Sasa ni wakati muafaka kuwa na wanawake wengi ili kupunguza ugomvi na mauaji yanayoendelea nchini kutokana na mahusiano na mapenzi.
Ukiwa na mmoja tu hakuna raha maana hawawezi kutoa huduma kila siku.Kwani hadi leo una mwanamke mmoja tu? Hiyo ni roho mbaya,wanawake ni wengi zaidi ya wanaume
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app