MrConveter
JF-Expert Member
- Jul 4, 2017
- 1,291
- 2,368
Nisaidie kuichomoa
Toba yarabi.
Nisaidie kuichomoa
Wewe ktk umri wako huo ulio nao umeshawahi kukutana na mwanamke anayeridhika na kile anachokimiliki asitake 1½ ya kile cha bwana'ake?Unakuwa na wale unaowamudu.. hakikisha anakuwa na kazi ya kumuingizia kipato ili msaada wako uwe kiasi.
Mwanamke inategemeana na ulivyoanza naye tu. Saikolojia yao ni kupenda kupewa vitu hivyo ni muhimu uwe unampa vitu vidogo vidogo mara nyingi hivyo anaona aibu kuomba. Muhimu awe na kipato chake.Wewe ktk umri wako huo ulio nao umeshawahi kukutana na mwanamke anayeridhika na kile anachokimiliki asitake 1½ ya kile cha bwana'ake?
NB;ni somo gumu kwangu labda nina mapungufu au nipo siriaz sana na maisha sijui!
Usiwaige watu wajf wote mamilionea kasoro mie na ndugu yangu National AnthemBado hainiingii akilini!
Haya mambo ya makoloni ndiyo siku unaambiwa “jamani kodi yangu imeisha naomba niongeze 300,000/= tu” wakati huo hiyo 300K mimi naipigia hesabu ya kuweka japo milango banda langu la kupangisha.
Ninyi mmekamilika yaani mmeshajipanga siyo wa kuwaiga nyie.
Hakika mkuu maana pale juu ukimsoma anakwambia ”unakuwa nao wachache tu” sasa mtu unajiuliza wachache wangapi?wawili au wanne?Usiwaige watu wajf wote mamilionea kasoro mie na ndugu yangu National Anthem
Kwwli kabisa hawa wanawake wanakula hela balaaa....ukiangalia recod za tigopesa unaona kabisa hela nyingi umetumia kiwatumia warembo alafu sasa ebu fulia kidogo uone misonyo yao.Hakika mkuu maana pale juu ukimsoma anakwambia ”unakuwa nao wachache tu” sasa mtu unajiuliza wachache wangapi?wawili au wanne?
Na hizi kunguni zilivyo hata zikiwa mbili tu wewe ni kwa heri jinsi zitakavyokupopoa vizinga hutakaa uwe stable financially.
Inaonekana wanawake wanakutesa sana. Utakuwa ni mtoaji mzuri na mwenye huruma.Hakika mkuu maana pale juu ukimsoma anakwambia ”unakuwa nao wachache tu” sasa mtu unajiuliza wachache wangapi?wawili au wanne?
Na hizi kunguni zilivyo hata zikiwa mbili tu wewe ni kwa heri jinsi zitakavyokupopoa vizinga hutakaa uwe stable financially.
🤠🤠🤠 Iga iga atapasuka msamba, acha tuendelee kukukuna pumbuz kwenye nyumba za wazazi, chai bure msosi bureUsiwaige watu wajf wote mamilionea kasoro mie na ndugu yangu National Anthem
Wangezaliwa wengi zaidiBaba yako asingeridhika na mama yako sidhani kama ungezaliwa!Wangezaliwa wengi zaidi
Mkuu ”wanawake” gani mbona unanichomekea maneno mzee???Inaonekana wanawake wanakutesa sana. Utakuwa ni mtoaji mzuri na mwenye huruma.
Ni rahisi kumcontrol mwanamke ukiwa tough wakati mwingine.
Maelezo yako yanaonyesha unauzoefu fulani uliokusikitisha.Mkuu ”wanawake” gani mbona unanichomekea maneno mzee???
Wewe ndiye umejitapa hapa kwamba unahudumia wanawake kadhaa sasa nimeshakuwa mimi tena ndo nimesema maneno hayo?
Maelezo yako yanaonyesha unauzoefu fulani uliokusikitisha.
Wapi nimesema nahudumia wengi?
Ukisoma hapo ktk post zako unaelewa sawasawa ulichokiandika?au ni league unatafuta bila sababu za msingi?Kuwa nao wengi haimaanishi uwe na familia nyingi. Unakuwa na makoloni tu ambapo unapata raw materials.
Uzi Ufungiwe Hapa.Baba yako asingeridhika na mama yako sidhani kama ungezaliwa!