Mwanamke mmoja hamtoshi mwanaume

Mwanamke mmoja hamtoshi mwanaume

Huwa nahisi wote wanohanikiza haya mambo ya mahusiano ya zaidi ya mke wa ndoa huwa either wamejikamilisha kwa kila kitu au umri wao wa majukumu makubwa haujafika.

Nikifikiria nilipe ada za watoto shule (wawili mmoja bado mdogo),niwawekee akiba yao in case kesho sipo,walale pazuri,wale vizuri wa-enjoy uwepo wangu kama baba kila kitu wapate on time mzazi wangu(ninae mmoja)alale pazuri ale vizuri nimfanyie japo nusu ya aliyonifanyia mimi bado sijafanya yale ninayoyapenda na yanayonizunguka ktk jamii ninayoishi sijioni bado nikiwa na uwezo wa ku-spend japo 100K na mtu tofauti nje ya circle ya maisha yangu.

Labda ipo namna nyengine huwa wanafanya?
 
Hakuna mwanamke anayeweza kuhimili jitihada za mwanaume kamili. Kila siku wanakuwa na sababu za kutoshiriki.

Sasa ni wakati muafaka kuwa na wanawake wengi ili kupunguza ugomvi na mauaji yanayoendelea nchini kutokana na mahusiano na mapenzi.
Akili mtu wangu
 
Huwa nahisi wote wanohanikiza haya mambo ya mahusiano ya zaidi ya mke wa ndoa huwa either wamejikamilisha kwa kila kitu au umri wao wa majukumu makubwa haujafika.

Nikifikiria nilipe ada za watoto shule (wawili mmoja bado mdogo),niwawekee akiba yao in case kesho sipo,walale pazuri,wale vizuri wa-enjoy uwepo wangu kama baba kila kitu wapate on time mzazi wangu(ninae mmoja)alale pazuri ale vizuri nimfanyie japo nusu ya aliyonifanyia mimi bado sijafanya yale ninayoyapenda na yanayonizunguka ktk jamii ninayoishi sijioni bado nikiwa na uwezo wa ku-spend japo 100K na mtu tofauti nje ya circle ya maisha yangu.

Labda ipo namna nyengine huwa wanafanya?
Kuwa nao wengi haimaanishi uwe na familia nyingi. Unakuwa na makoloni tu ambapo unapata raw materials.
 
Bado hainiingii akilini!

Haya mambo ya makoloni ndiyo siku unaambiwa “jamani kodi yangu imeisha naomba niongeze 300,000/= tu” wakati huo hiyo 300K mimi naipigia hesabu ya kuweka japo milango banda langu la kupangisha.

Ninyi mmekamilika yaani mmeshajipanga siyo wa kuwaiga nyie.
 
Unakuwa na wale unaowamudu.. hakikisha anakuwa na kazi ya kumuingizia kipato ili msaada wako uwe kiasi.
 
Back
Top Bottom