Hapo umeongea mkuu 💯Hakuna mwanamke anayeweza kuhimili jitihada za mwanaume kamili. Kila siku wanakuwa na sababu za kutoshiriki.
Sasa ni wakati muafaka kuwa na wanawake wengi ili kupunguza ugomvi na mauaji yanayoendelea nchini kutokana na mahusiano na mapenzi.
Nisaidie kuichomoaImekuchoma?
Baba yako asingeridhika na mama yako sidhani kama ungezaliwa!Hakuna mwanamke anayeweza kuhimili jitihada za mwanaume kamili. Kila siku wanakuwa na sababu za kutoshiriki.
Sasa ni wakati muafaka kuwa na wanawake wengi ili kupunguza ugomvi na mauaji yanayoendelea nchini kutokana na mahusiano na mapenzi.
Utawashindwa wawili mkuu? Yaani wawili wakushinde???wawe wawili tena huyu mmoja ndo kila saa kupekuwa simu yake nani anawasiliana nae mkuu wanawake wengi wanachepuka kutokana na kukosa mapenzi kitandani na hata ndani ya nyumba wazia wawe wawili utawaweza kweli
Hapa tuwaachie watu imani zao wasije kuleta maneno.Waislamu wamebobea katika hii falsafa. Naomba wawape wakristu hii elimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hizi hekaheka za kutafuta hela kuna siku mpenzi wangu ndo ananivuta shati lakini bila hivyo nisingekula mzigo kabisaUtawashindwa wawili mkuu? Yaani wawili wakushinde???