Mwanamke mmoja apigwa risasi TRA jijini Arusha

Mwanamke mmoja apigwa risasi TRA jijini Arusha

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Posts
8,169
Reaction score
3,358
Mwanamke mmoja amepigwa risasi ya mkononi kwa kujitakia mwenyewe.

Mwanamke huyo alifika maeneo ya TRA ambako kuna tawi la CRDB - Mapato na kupaki gari eneo lisiloruhusiwa. Askari walimuelekeza eneo hilo haliruhusi kupaki gari lakini alikataa na kuingia ndani ya bank kwa ajili ya shughuli za bank anazozijua yeye.

Askari hao walimfuata tena ndani na kumwambia akatoe gari lakini mwanamke huyo kwa nyodo alimjibu askari huyo aachane nae.

Kuona hivyo askari walikwenda kutoa upepo kwenye matairi ya gari yake ili kama alikuwa na watu wengine wenye nia mbaya washindwe kutekeleza mpango wao ukizingatia siku hizi matukio ya wizi wa mabanki yameshamiri.

Yule mwanamke aliporudi na kukuta gari yake imetolewa upepo aliuliza watu na kuambiwa ni askari waliotoa upepo. Basi alikwenda moja kwa moja kwenye gari na kutoa bastola kisha akaenda kwa askari polisi waliopo huku akiwatisha atawaua. Katika hali ya taharuki yule mwanamke akakoki bunduki kwa lengo la kuitumia na ndipo askari akipomuhai risasi ya mkononi.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio mwanamke huyo hajulikani alipata wapi ujasiri wa aliyoyafanya.
 
Mwanamke ------- huyo!!! Wewe unajua askari ana silaha halafu unatoka na silaha unataka ukapambane naye?? Tena huyo askari hakufanya vema, angemtandika ya mguu auvunje kabia ili avae mguu wa bandia.
 
Safi sana atandikwe 2 ujue hawa wanawake siku hizi wananyodo sana .
Wanaliwa kabang na kuhongwa pesa na kuanza kutusumbua bure hata mm huwa nawatamani sana
 
Huo ndiyo ulimbukeni wa hela, sikufanikiwa kupata namba ya gari lakini tukio hilo limewasikitisha wengi sana kwa jinsi mama huyo alivyoonesha kiburi.
 
Mwanamke mmoja amepigwa risasi ya mkononi kutokana na uzembe wake mwenyewe.

Mwanamke huyo alifika maeneo ya TRA ambako kuna tawi la CRDB - Mapato eneo lisiloruhusiwa. Askari walimuelekeza eneo hilo haliruhusi lakini alikataa na kuingia ndani ya bank kwa ajili ya shughuli za bank anazozijua yeye.

Askari hao walimfuata tena ndani na kumwambia akatoe gari lakini mwanamke huyo kwa nyodo alimjibu askari huyo aachane nae.

Kuona hivyo askari walikwenda kutoa upepo kwenye matairi ya gari yake ili kama alikuwa na watu wengine wenye nia mbaya wahindwe kutekeleza mpango wao.

Yule mwanamke aliporudi na kukuta gari yake imetokewa upepo alikwenda moja kwa moja kwenye gari na kutoa bastola kisha akaenda kwa walinzi walipo huku akiwatisha atawaua. Katika hali ya taharuki yule mwanamke akakoki bunduki kwa lengo la kuitumia na ndipo askari akipomuhai risasi ya mkononi.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio mwanamke huyo hajulikani alipata wapi ujasiri wa aliyoyafanya.

Huyo mwanamke hana asili ya fedha na kazipata bila kuwa na asili nazo ndizo zinazomzuzua.

Alifikiri pesa ni kila kitu.
 
Safi sana atandikwe 2 ujue hawa wanawake siku hizi wananyodo sana .
Wanaliwa kabang na kuhongwa pesa na kuanza kutusumbua bure hata mm huwa nawatamani sana

Hahahahahaaaa hebu tuletee ushahidi haraka sana ili sheria ichukue mkondo wake
 
Back
Top Bottom