Mwanamke kwangu sumu kuniomba hela

Mwanamke kwangu sumu kuniomba hela

mpaka lini sasa...inatakiwa ukiweka kitu mezani na yeye aweke...masuala ya saluni sijui na mambo mengine ya urembo ajihudumie mwenyewe

Duuuh,acha ubahili kwan ukimhudumia hvo unakua umeonga?si unakua umem care tu kama girl wako acha kabisa huo ubahil kaka.
 
mi naweza kumpenda binti ila nikaacha kumfata kutokana na uoga wa kuombwa hela, tena kwa matumizi ya ajabu na ghali hadi huruma
 
wadau mimi ni kijana tu bado sijaoa,sipendi mwanamke anae niomba hela na niko radhi kuachana nae..napenda mwanamke free na independent asie omba omba nimekua nao na nikiona ana omba tu nampiga kapuni......vijana wenzangu nyie kwa upande wenu hawa ombaomba hawa wakeri?na nyie jinsia nyingne hua mnajiskiaje kumtegemea mwanaume kwa 100% na Ilihali sio hata mumeo

Tafuta udongo uukojolee !
 
Mimi bila kuhonga, kwa kweli sina raha kabisa, Saikolojia ya mwanaume ni kutumia pesa yake na mwanamke, saikolojia ya mwanamke ni kukaa akiwa amependeza au nusu uchi wakati anatumia pesa ya mwanaume,
 
Msitumie pesa zenu kutugandamiza wanyonge (kwa sauti ya magufuli)
 
Hahahaha so mwanaume ndio wa kutoa?
Kila mtu ni mtafutaji. Pengine unatafuta k wakati yeye anatafuta hela, mnakutana na mnaenjoy. Mapenzi ni gharama. Pengine yeye anaishi Na chupi iliyo Na kiraka ila kama akikuletea k utamcheka KWA hali hiyo au akunyime unune au anunue kwanza ili akufurahishe. Je gharama za kukufurahisha nani azitoe?
 
Hao wanawake wanaomba fedha hovyo mara nyingi si watu wakuaminika kwasababu hawapo independent wao ni watumwa wanaowahudumia. Hovyo kabisa.
 
Mimi bila kuhonga, kwa kweli sina raha kabisa, Saikolojia ya mwanaume ni kutumia pesa yake na mwanamke, saikolojia ya mwanamke ni kukaa akiwa amependeza au nusu uchi wakati anatumia pesa ya mwanaume,

siku hizi mambo yamebadilika mkuu,hata wao wanadai 5050
 
Wadau,

Mimi ni kijana tu bado sijaoa, sipendi mwanamke anae niomba hela na niko radhi kuachana nae napenda mwanamke free na independent asie omba omba nimekua nao na nikiona ana omba tu nampiga kapuni vijana wenzangu nyie kwa upande wenu hawa ombaomba hawa wakeri?

Na nyie jinsia nyingne hua mnajiskiaje kumtegemea mwanaume kwa 100% na Ilihali sio hata mumeo.

Naomba mods wawatengee vijana jukwaa lao...

Haya mambo mengine yanatuchosha sana kwani yanawahusu watoto katika michezo yao ya kusaidiana kupita kwenye balehe!

Please Paw, Maxence Melo, Invisible tusaidie ili MMU ya watu wazima iongelee yale ya kiutu uzima. Habari za kuulizwa jinsi ya kuongea na msichana kwa mara ya kwanza au rangi ya maziwa (and the like) zinatujazia forum bure!
 
Last edited by a moderator:

nyie wazee ndio mnatakiwa mue na jukwaa lenu....efficiency ya kufikiri inapungua umri unavyoongezeka ni maada tuijadili dont lock ur mind
 
mi naweza kumpenda binti ila nikaacha kumfata kutokana na uoga wa kuombwa hela, tena kwa matumizi ya ajabu na ghali hadi huruma
unajua wanawake wengi bado wana mtazamo wa kizamani mkuu dunia inabadilika na wao wabadilike pia
 
nyie wazee ndio mnatakiwa mue na jukwaa lenu....efficiency ya kufikiri inapungua umri unavyoongezeka ni maada tuijadili dont lock ur mind

Sawa tu... ila ombi langu linabaki pale pale....

Mpewe jukwaa lenu mkachezeshane wenyewe huko!!
 
Back
Top Bottom