July Fourth
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 2,240
- 795
Hahahaha so mwanaume ndio wa kutoa?
Ndio mkuu. Wenzetu wanaishi kwa miamala kuthibitishwa
Hahahaha so mwanaume ndio wa kutoa?
unataka kula bila kuliwa (kwa sauti ya mkwere)
inawezekana sana tu,lakini umpate mwanamke huruunataka kula bila kuliwa (kwa sauti ya mkwere)
vitu gani hivo unafanya?Leo mtaongea sana wabahili. Ila kiukweli mimi sijawai kumuomba mwanaume hela ila vitu ninavyofanya lazima nipewe kiroho safi. Ahaaaa imeandikwa kuwa mwanaume ampe mwanamke alichonacho lakini imeandikwa tuwahudumie.
maendeleo yatakuepo?Mimi napenda mwanamke anitegemee kwa kila kitu.
maendeleo yatakuepo?
Leo mtaongea sana wabahili. Ila kiukweli mimi sijawai kumuomba mwanaume hela ila vitu ninavyofanya lazima nipewe kiroho safi. Ahaaaa imeandikwa kuwa mwanaume ampe mwanamke alichonacho lakini imeandikwa tuwahudumie.
samahani lakini,mpenzi wako ana shughuli yoyote ya kuleta kipato?Ndiyo tena makubwa sana.
samahani lakini,mpenzi wako ana shughuli yoyote ya kuleta kipato?
wadau mimi ni kijana tu bado sijaoa,sipendi mwanamke anae niomba hela na niko radhi kuachana nae..napenda mwanamke free na independent asie omba omba nimekua nao na nikiona ana omba tu nampiga kapuni......vijana wenzangu nyie kwa upande wenu hawa ombaomba hawa wakeri?na nyie jinsia nyingne hua mnajiskiaje kumtegemea mwanaume kwa 100% na Ilihali sio hata mumeo

Imeandikwa wapi