Umeonaeee binafsi nachukulia mizinga kama kupigwa/kuchuna.
Kimsingi dunia ya Leo wadada lazima mfanye kazi either uwe umeajiriwa au umejiajiri..maisha ni kusaidiana majukumu..vitu vidogo dogo kuhusu urembo wako mdada pesa itoke mfukoni mwako..na kama kipato ni kizuri zaidi basi hata chakula ndani ya nyumba muwe mnasaidiana.
Karne ya mwanamke kuwa goal keeper ilishapita toka 20th century sasa tupo 21st century...
Wahongaji wote ni madomo zege na wengi wao huishia kuwa mashoga!!!
Mie hata kama nikifanya kazi nitakuwa namuomba ila kidogo dogo jamani pesa ya mpenzi tamuuu ww
Inabidi uombewe
kusema kweli mwanamke kuomba omba hela kwa vitu vya kawaida vinapunguza uhalisia wa mapenzi ya dhati, kuna ile madhalani mtu kapata tatizo, mgojwa n.k mwanaume mwenyewe ataona anatakiwa kutoa ama laaah be a woman not a parasite eboooh
Sawa mie finyu ila pesa nitakuomba mpka mwisho wa mahusiano yetu sasa kama sina pesa nikamuombe nani??? Acha ubahili ww mwanaume pesaa
..Kicheche!
...mbona babaako hana?!
Kwani baba yangu nalala naye ??? Nitakuomba ww ninayekuita mume au mpenzi
sawa ni demu wako lakini hata kutoa idea tu ya ku improve maisha ni shida?wanawake wengi hua wanawaza kupendeza tu na kuomba hela vingine hua hawajali,mimi sifikiri mara mbili nikijua wewe ni wa mtindo huo delete buton inakuhusuKupigwaaa kumoooooo aaahahhahha lols alikudanganya ila sio mbaya si demu wako bana pesa haijapotea
hicho ni kitu muhimu hapo ntatoa kwa roho moja kwa sababu tunafaidi woteUkiombwa na pesa ya kukupikia chakula unatupa chini pia?
naongelea uhuru mpaka wa kifikra pia,haiwezekani mimi nimpe mtaji,nimpe idea,na mahesabu nimpigie pia alafu yeye akae tu kuuza hapo ni sawa na 0 bora kuajiri tu mtu sasa.....huyo hajiwezi na hajitambui na hakuna haja ya kua nae wakati hata mazingira yanayomzunguka hayatambuiukitaka mtu asikuombe hela msaidie angalau kitu cha kumuingizia kpato kitakacho wasaidia wote, yawezekana kaz hana xo ukmsaidia cna iman kama atakusumbua... even mi ckumbuk lin niliomba hela aisee... bora nilale njaa ntapata akil kuliko kuomba hela kwa rafk angu wa kiume
mkuu sasa kuhonga mpaka lini?Wewe una matatizo sio bure. Hata jogoo anahonga kwanza ndo anadandia. ANgalia sana, anawaita kuku waje wae chakula, wakishafika wandonoa donoa alafu anadandia anapiga kitu.
duuu,ina maana bila huyo jamaa chai hapatinakubaliana na wewe chief..tatizo kuna wanaume dhaifu sana mpaka unamuonea huruma maana kuna wadada huwa wakisha pewa pesa tu wanaanza kuwaponda hao watoaji kwa lugha tofauti tofauti or sometime hizo hizo pesa wanakula na wanaume wengine.
nimewahi msikia mdada mmoja anasema ngoja nimpigie simu huyu ----- anilete pesa ya chai.