Mmhh nijitegemee mwenyew lakn kubal wote tuje kuwa vichwa vya familia.. sifa ya m'ume rijali ni kumhudumia manz ake, ss sifa hyo ukikosa ukabaki na sifa moja una hatari ya kusaidiwa na wengne wanaojua majukumu ya m'me kwa m'mke.. Na ww bado hujapenda, utapopenda utakuja hp tn
Wadau,
Mimi ni kijana tu bado sijaoa, sipendi mwanamke anae niomba hela na niko radhi kuachana nae napenda mwanamke free na independent asie omba omba nimekua nao na nikiona ana omba tu nampiga kapuni vijana wenzangu nyie kwa upande wenu hawa ombaomba hawa wakeri?
Na nyie jinsia nyingne hua mnajiskiaje kumtegemea mwanaume kwa 100% na Ilihali sio hata mumeo.
Kuhonga ni silaha ya wanaume dhaifu

Haiwezekani...sina maana hiyo.
Haya bhana
![]()
Wadau,
Mimi ni kijana tu bado sijaoa, sipendi mwanamke anae niomba hela na niko radhi kuachana nae napenda mwanamke free na independent asie omba omba nimekua nao na nikiona ana omba tu nampiga kapuni vijana wenzangu nyie kwa upande wenu hawa ombaomba hawa wakeri?
Na nyie jinsia nyingne hua mnajiskiaje kumtegemea mwanaume kwa 100% na Ilihali sio hata mumeo.
Nasikia raha sana ..... anavyonibenua na kunigalagalaza mtoto wa mwezenu?? Pesa ya sabuni ya kunawia papuchi nitaipata wapi???? Kama upendi kuombwa pesa acha kupenda mademu
Ni akili finyu sana kudhani wakati wa Sex ni mwanamke ndio anayetumika, huko kubenuliwa/kugaragazwa ni katika kufurahishana nyote wawili kimahaba..hivyo ni tendo la furaha kwenu wote wawili na kila mtu ana-loose alot of calories..
Hivyo don't justify hiyo mizinga through sex.
Wadau,
Mimi ni kijana tu bado sijaoa, sipendi mwanamke anae niomba hela na niko radhi kuachana nae napenda mwanamke free na independent asie omba omba nimekua nao na nikiona ana omba tu nampiga kapuni vijana wenzangu nyie kwa upande wenu hawa ombaomba hawa wakeri?
Na nyie jinsia nyingne hua mnajiskiaje kumtegemea mwanaume kwa 100% na Ilihali sio hata mumeo.
Sawa mie finyu ila pesa nitakuomba mpka mwisho wa mahusiano yetu sasa kama sina pesa nikamuombe nani??? Acha ubahili ww mwanaume pesaa
Cha kwanza ondoa hiyo mind set ya kuwa dependent kwa boyfriend wako au mmeo.
Mimi nafikiri mwanamke mzuri ni yule ambaye ataomba kuwezeshwa kimtaji awe na shughuli yake rasmi itakomuingizia kipato ili hizo shida ndogo ndogo kama ulivyo sema sabuni ya kuosha papuchi uwe unazimaliza mwenyewe.
Ila kwangu mpaka nikuwezeshe kimtaji usiwe girlfriend maana hamuaminiki ninyi..Uwe tayari ni mke wangu wa ndoa.
Mizinga ina bore jamaniiiii
Sasa wapo hataki kukuwezesha kutwa kukuweka ndani tu ukiomba pesa ya nn khaah .... ukiniwezesha nitapunguza ila pesa ya mume ni tamu bana
Nafikiri mtoa mada alilenga zaidi mizinga kipindi ya mahusiano ya boyfriend/girlfriend
Nakumbuka kuna kipindi nilikuwa na mahusiano na Binti mmoja mrembo sana..akaja baby naomba hela niende saloon kuritachi( sijui inaandikwa vp) nywele zangu.
Mambo ya saloon za kike mimi siyajui nikaingia mfukoni nikampa 30,000/= akaniambia baby haitoshi kuritachi sio chini ya 60,000/= kwa saloon anayoenda.
Jioni nipo home napiga story na sister ambaye hufanya kazi za saloon ananiambia maana ya kuritachi na gharama zake nikaishiwa nguvu
Kupigwaaa kumoooooo aaahahhahha lols alikudanganya ila sio mbaya si demu wako bana pesa haijapotea