Mwanamke kwangu sumu kuniomba hela

Mwanamke kwangu sumu kuniomba hela

Mm kama wewe mkuu yani utadhani mwanaume ni giver tuuuuu. Eti naomba hela ya vocha, weekend hii unaniachaje..duh mbona sisi hatuombi hela kwenu?

we we we weee!!! wanaume wa siku hizi wanaomba sanaaaa --- na ni KEROOO- oooh sina hata centi mfukoni, ooh nikopeshe nina shida, ohhh mambo yako vibaya!!! ili mradi ni ombaombaomba tuuu

wanaume acheni kuomba pesa kwa wanawake! ata kama anakupa anamaind sana hakuambii tu
 
unavyojiskia wewe ndivyo na mimi ninavyojiskia,basi tusiombane
 
Back
Top Bottom