Uso wa nyoka
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 4,791
- 2,381
Hakupendi na anaishi na wewe Kwa kuvumilia. Next time akisema tuachane,mwache kweli!
Kwa hiyo pamoja na tote aliyokwambia ukaamua kukomaa? Achana nae hiyo.Alianza kusema nipunguze mawasiliano kwa sasa. Alisema niwasiliane nae usiku mara nyingi. Anasema mchana anakuwa na kazi
Mimi kuna Kipindi na mimi nilikuwa nafanyiwa hivi, mwisho wa siku nikamwambia sawa.. Sasa siku alipokuja geto kuchukua kifaa chake fulani wakati anakibeba akaanza kumwaga chozi na kuniomba msamaha kwamba nimsamehe ni shetani alimpitiaMwanamke anaposema tuachane tuachane mara kwa mara maana yake nini? Ugomvi kidogo tu tuachane halafu unamuona usoni kabisa anamaanisha.
Mwanamke anaposema tuachane tuachane mara kwa mara maana yake nini? Ugomvi kidogo tu tuachane halafu unamuona usoni kabisa anamaanisha.
..Tupia kapicha mkuu tyta, ..mda mrefu hatujapata vielelezo..Pengine ni hasira na maamuzi ya pupa,pengine amekuchoka na anamaanisha ''MUACHANE''..pengine kaathirika na na tamthilia za kwenye tv tu😀(''Alejandro.I don't love you anymore'')
HahaaaaMimi kuna Kipindi na mimi nilikuwa nafanyiwa hivi, mwisho wa siku nikamwambia sawa.. Sasa siku alipokuja geto kuchukua kifaa chake fulani wakati anakibeba akaanza kumwaga chozi na kuniomba msamaha kwamba nimsamehe ni shetani alimpitia
mna mtotoMwanamke anaposema tuachane tuachane mara kwa mara maana yake nini? Ugomvi kidogo tu tuachane halafu unamuona usoni kabisa anamaanisha.
Zamani za kale nilikuwa hivyo,hahaaaHapo utakuta anajishaua tu ubavu wa kukuacha hana, siku akikutingishia kiberiti mkubalie kuachana utaona anavohangaika kama paka mwenye hamu.... Wanakeraga watu wa hivo
hhahahahah hajakupa penzi kwani mkeo huyo acha uzinzi.Halafu hajanipa mapenzi miezi miwili kwa sasa. Kwa sbb mbali kwamba hajisikii ana msongo wa mawazo mara anaumwa UTI.
sio woteUna miaka 34 bhado unasumbuka na mapenzi mjinga fanya kazi utapa hela wanawake wa tz wote ni hela mkuu piga chini huyo
Mwanamke anaposema tuachane tuachane mara kwa mara maana yake nini? Ugomvi kidogo tu tuachane halafu unamuona usoni kabisa anamaanisha.