Mwanamke kusema tuachane mara kwa mara, maana yake nini?

Mwanamke kusema tuachane mara kwa mara, maana yake nini?

Mwanamke akisema aniache lazima nijiangalie wapi nimekosea!!!!!!
Haijawahi kutokea lakini siyo dalili nzuri,
akiniambia tuachane Binafsi even if nampenda 200% Namwacha!!!!!!!
So Nakushauri Achana naye.
 
Nyuki wewe !! sasa hapo swali liko wap? hakupendi huyo ndio maana yake,na siku ukimkuta na kidume mwenzio anagegedwa usije ulza maana jibu unalo
 
All these women around and you let her play you like that? Mimi kuna mmoja alileta hizo nikabembeleza once akapata kichwa. Nikawambia wewe nenda tu sio issue. Screwed her sister and never spoke to her again. Juzi kanitafuta eti tuwe marafiki. Told her to go eat a dick.
Kwakweli😛😛🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nina hako katabia jamani.😭
Nikiona tu sielewi nakimbilia kuomba tuachane.
Mi kuvumilia mapicha picha kwa muda mrefu siwezagi daah😭
 
Nina hako katabia jamani.[emoji24]
Nikiona tu sielewi nakimbilia kuomba tuachane.
Mi kuvumilia mapicha picha kwa muda mrefu siwezagi daah[emoji24]

Acha insecurities uta date na Yesu tu labda ambae amekamilika
 
Mwanamke anaposema tuachane tuachane mara kwa mara maana yake nini? Ugomvi kidogo tu tuachane halafu unamuona usoni kabisa anamaanisha.
Kama ni Waislam mke asiyeitaka ndoa anakwdnda kwa kadhi, anapatanishwa, ikishindikana anarudisha mahari inakuwa kajivua (khuluu), kwisha.

Uislam mwema sana.
 
Ana mwanaume mwingine, na anakufanyia wewe vitimbwi ili umpige chini unajifanya kipofu na kiziwi hivyo ana amua kukufungukia tuu mwachane..



Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom