Bolshevick
JF-Expert Member
- Sep 2, 2013
- 355
- 247
Mwanamke anaposema tuachane tuachane mara kwa mara maana yake nini? Ugomvi kidogo tu tuachane halafu unamuona usoni kabisa anamaanisha.
muachachane tu hakuhitaji tena huyo anatafuta sababu muachane tupa kule vuta mwingine fasta
sasa wewe unaendelea kukaa nae mpaka lin? ushaambiwa umuache wewe ndio unamchelewsha mkuu.
tupa kule usipoteze muda wakoAlianza kusema nipunguze mawasiliano kwa sasa. Alisema niwasiliane nae usiku mara nyingi. Anasema mchana anakuwa na kazi
bas endelea kuishi utumwani.Bado nampenda mkuu
Sasa unapenda,usipopendwa.Bado nampenda mkuu
una umri gani mkuu?Halafu hajanipa mapenzi miezi miwili kwa sasa. Kwa sbb mbali kwamba hajisikii ana msongo wa mawazo mara anaumwa UTI.