Mwanamke kusema tuachane mara kwa mara, maana yake nini?

Mwanamke kusema tuachane mara kwa mara, maana yake nini?

Asante JF ndo mana nakupenda, analeta tatzo mtu mmoja kumbe kawakilisha maelfu nyuma. umensemea na mimi tatzo langu na wengne pia. nmejfunza kitu kutoka kwa wadau
 
Asante JF ndo mana nakupenda, analeta tatzo mtu mmoja kumbe kawakilisha maelfu nyuma. umensemea na mimi tatzo langu na wengne pia. nmejfunza kitu kutoka kwa wadau

Kaka wewe ikoje
 
Kumwelewa mwanamke ni kazi sana anaweza akawa anasema ila amaanishi
 
Amekuvumilia nasasa amechoka nayupo tayar muachane, broo kama inakuhusu wewe bac badilika uone kama atakwambia tena muachane
 
Utakuwa umemsumbua saana jaribu kujitathimini kitabia utagudua chanzo
 
Mungu anakupenda bola wew kakutamkia wengne wanatoaga Kila alichonacho amlizishe mdada lakin WAP .
 
Kama bado hujamuacha mpaka sasa wewe ni dhaifu kushinda jk
 
Sa simuachane, ya nini kugandana kama kupe
 
Penzi la fukara halina thamani,tafuta pesa utapendwa tena na binti wa miaka 19
 
Back
Top Bottom