Mwanamke kusema tuachane mara kwa mara, maana yake nini?

Mwanamke kusema tuachane mara kwa mara, maana yake nini?

Mwanamke anaposema tuachane tuachane mara kwa mara maana yake nini? Ugomvi kidogo tu tuachane halafu unamuona usoni kabisa anamaanisha.
hiyo ndoa itakuwa bado changa.......ikikomaa ataacha tu!

Au pengine anatikisa tu kiberiti....ukipenda ni muhimu umuoneshe kuwa kimejaa! Mwambie 'akwende' tu uone atakachofanya (hasa kama ni vi ugomvi ambavyo havina kichwa wala miguu, ataona aibu kumsimulia yoyote kwa sababu ataonekana ni mjinga tu!).

Nakumbuka kukumbana ni vijimambo kama hivyo wakati ndoa yangu ikiwa haijafikisha miaka 3 (kwa sasa ipo kwenye 'teen'!). Namshukuru Mungu tulivuka salama lakini sikuruhusu huo 'ujinga' wa kutishanatishana kila wakati.
 
All these women around and you let her play you like that? Mimi kuna mmoja alileta hizo nikabembeleza once akapata kichwa. Nikawambia wewe nenda tu sio issue. Screwed her sister and never spoke to her again. Juzi kanitafuta eti tuwe marafiki. Told her to go eat a dick.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Muulize kwa nini anataka muachane. Atakupa longolongo nde-e-fu. Mwambie sawa utamwacha. Halafu tafuta mwingine ambaye hamjapendana ujipitishe mbele yake ukiwa na huyo mwingine. Kisipomuuma roho utajua ni kweli alishakutema moyoni mwake so achana nae. Akionyesha kuumia kwa vile amekuona na mwingine jua alikuwa anakutingishia kiberiti maana ndivyo walivyoumbwa
 
Kulikuwa na issues kati yetu ila za nyuma sana yapata mwezi wa nne. Lakini mwanamke hataki kuachilia vitu.
 
Anamaanisha anachokisema,ukisikia mwanamke ambae si mke wako anakuambia muachane fanya kama anavyotaka atakuona shujaa na mfalme mkuu milele,kila akikuona lazima apishe njia.
 
Anamaanisha anachokisema,ukisikia mwanamke ambae si mke wako anakuambia muachane fanya kama anavyotaka atakuona shujaa na mfalme mkuu milele,kila akikuona lazima apishe njia.

Hii imeniingia akilini
 
una umri gani mkuu?

WE JAMAA mbona kila mtu unapendaga kumuuliza umri wake....
Mbona wenzio tunatoa ushauri tuu bila ku bother about mwenye uzi's age?????
We Huwezi....!!!!!

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Anatikisa kiberiti huyo alafu ukimuacha samahan mpaka ktk nannihii
 
huyo hajiamini tu ht hana maana hiyo au anaona mahusiano hayana future
 
Back
Top Bottom