Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,683
- 98,694
Kashaligundua hilo ndo mana ana-take advantageBado nampenda mkuu
Fanya umuache tu, upendo ulonao kwake utapungua adi kuisha kabisa
Time heals
Kashaligundua hilo ndo mana ana-take advantageBado nampenda mkuu
Pengine ni hasira na maamuzi ya pupa,pengine amekuchoka na anamaanisha ''MUACHANE''..pengine kaathirika na na tamthilia za kwenye tv tu😀(''Alejandro.I don't love you anymore'')Mwanamke anaposema tuachane tuachane mara kwa mara maana yake nini? Ugomvi kidogo tu tuachane halafu unamuona usoni kabisa anamaanisha.
Unampenda asiye kupenda mkuu umekuwa nunda weweBado nampenda mkuu
Ni vyema ukaachana naye hivi sasa kuliko kuumia hapo baadaye.
Ni sign ya kuwa she is not 100% s in love with you. Lakini hapendi kukuumiza kwa kukupa ukweli au anajua huwezi kuelewa.
Don't force bro. Walk away before its too late.
Mkuu hayaja kufika bado....ukajikuta njia panda
Unasubiri nini kumuacha? au mpaka akuwekee sumu?Mwanamke anaposema tuachane tuachane mara kwa mara maana yake nini? Ugomvi kidogo tu tuachane halafu unamuona usoni kabisa anamaanisha.
Hiyo ni simple mkuu, hakuhitaji. Muache aende..Bado nampenda mkuu
Mkuu hayaja kufika bado....ukajikuta njia panda