Mwanamke kudekezwa na kubebishwa

Mwanamke kudekezwa na kubebishwa

Lazima umtetee kama mentality zenu zinafanana. Ukitaka kujua k lyn anaoffer nini kwa mengi nenda kamuulize mengi ndio atakuambia. Hizi mentality mnazo wanaume wa kibongo maana kwenu mapenzi mmeyachukulia hivyo mnavyoyachukulia, kwahiyo ukiona mtu anakuchuna then anasepa basi jua wewe ndio chanzo.

Women have alot to offer in relationships than sex. Fikiria tu ukiwa sober(ukiwa hauna hiyo mentality) then utagundua. Hata wewe nafsi ikusute, jiulize tu kwanini hauwataki wasomi then utagundua ni nini women wanaoffer kwenye mahusiano.
Bby u said it all. I hate their mentality but not them. Ptuuuu hawafai wenye akili hiz kbsa. Bora be alone ujue moja
 
hahahaha
najua sija sound vile unapenda but naeleza ukweli wa ki evolution na ki historia hilo swali dunia nzima hujiuliza lakin jibu lina rud pale pale and always we men are very fine with the trade offs.
japo kwa kuwa dunia inabadilika many independent women wanavyo vya ku offer zaid japo bado wako wachache sana wa hivo.
With this mentality yku will all end up with do's and dont's in your list.
Dont ask me how
 
Watambue tu tunacheza mziki wanaoupiga hivyo wasitulaumu. Waliambiwa waishi nasi kwa akili, wazitumie tu hizo akili waone kama kutakuwa na shida. Kama akili zao ni kuwa tunaoffer papuchi tu basi wasituulize tunaoffer nini?
 
Unajua wanawake hawa viumbe wa ajabu sanaa ...
Kuna manzi nilikua naye kwenye mahusiano ya kawaidaa tuu nikawa nampa hela siku nyingine namletea zawadi kuna siku akikua hana hela ya mchezo kwenye vikundi vyao nikamsaidia na alipotoka kwenye kikundi simu ilipasuka kwaio akaniomba nimnunulie nyingine hapo

Kuna jamaa wangu yeye anaduka nikamwambia nataka simu nikampa hela nikamwambia atakuja kuchukua shemeji yako fulani . .

Jamaaa akaelewa somo demu akashukuru sanaa

Basi kama miezi mitatu hivi mahusiano yaaendelea out za kutosha zawadi za kutosha vitenge hivi kama zawadi nilimnunulia mpaka basi na hela zingine za matumizi ..
Kimbembe akija gheto yani hamna makeke yoyote na kiuno kigumu sanaa kama nati haina grisi. .
Nikawa namvumilia
Sikuwahi hata siku moja kushika simu yake siku hiyoo alikuja room kwangu alikua ametoka mishe zake akaomba aoge ILI aende kwao ..
Ikaja akili nikachukua simu yake kuingia whatsaap nikaona kuna njemba nyingine anachart naye ile nchemba inamsifia sana utundu wake kitandani hadi koni kanyonya na kiuno feni. ..aisee roho iliniuma sanaa

Aliporudi kutoka kuoga nakujua kama nilikua nimeshika simu yake mana ilikua haina passwords. .
Tangu siku Ile nikawa naishia story tuu na nikamwambia siku hizi biashara zangu hazipo vizuri kwaio nimefulia kama week mbili sijampa hela ...
Nikaanza kukata mawasiliano kidogo kidogo mpaka Leo

Hajui anabaki kuniuliza kuwa kwanini nilimuacha gahfla nikamwambia moyo tuu..

Hawa viumbe hata uwadekeze hamna kitu
Mwanamke ni selfish in nature, anapenda always atendewe haki hata kama anazingua. Thats so obvious!!! Inauma sana kufanywa mjinga
 
Lazima umtetee kama mentality zenu zinafanana. Ukitaka kujua k lyn anaoffer nini kwa mengi nenda kamuulize mengi ndio atakuambia. Hizi mentality mnazo wanaume wa kibongo maana kwenu mapenzi mmeyachukulia hivyo mnavyoyachukulia, kwahiyo ukiona mtu anakuchuna then anasepa basi jua wewe ndio chanzo.

Women have alot to offer in relationships than sex. Fikiria tu ukiwa sober(ukiwa hauna hiyo mentality) then utagundua. Hata wewe nafsi ikusute, jiulize tu kwanini hauwataki wasomi then utagundua ni nini women wanaoffer kwenye mahusiano.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
shemeji hatuna haja ya ku muuliza Mengi. K lynn has nothing else to offer s'thing which is natural kabsa na Mengi ana furahia kabsa hiko anacho kipata.

ila hii shemej hai apply kwa wana wake wote, bali wengi. na siyp insult ni nature hiyo.
 
hahahaha
najua sija sound vile unapenda but naeleza ukweli wa ki evolution na ki historia hilo swali dunia nzima hujiuliza lakin jibu lina rud pale pale and always we men are very fine with the trade offs.
japo kwa kuwa dunia inabadilika many independent women wanavyo vya ku offer zaid japo bado wako wachache sana wa hivo.
Si unaona unakorudi!!! Hebu kamuulize bibi yako(na assume hakuwa independent) kuwa alioffer nini kwenye mahusiano na babu then utapata jibu. Ondoa hiyo mentality, maana kwa akili hizo unaongelea pesa, yaani kitu pekee unachoona mwanamke anaweza kuoffer na ukaona ameoffer kitu ni pesa.

Kwa maana hiyo asipokuoffer pesa basi she has offered nothing zaidi ya papuchi right!!!
 
Hajatofautisha hata kidogo, sema kajitahidi kurembesha ila yumo mle mle sema kwa maelezo marefu tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
shem hebu ni some kwa umakini nimejitahid kutoa sababu si claims tu.
halaf pia language matters lugha i aweza kufanya maana ipotee au isipotee.
so sija sema kwa nia mbaya kabsa
 
Kuna mahali mmeambiwa wanawake wasifanye chochote? Soma mada elewa mada, usianzishe mada juu ya mada.
Ukitaka kujua nini wanawake wawafanyie, basi pitia humu jukwaani utakutana na mada rundoooooo.
Bibie nafikiri tumeshindwa kuelewana tu, sina dharau na sikudhamiria kudharau mtu, hayo maneno yalikua ni reply kwa mwenzangu aliyewazungumzia kuna wanawake wao wanafikiri Yale wanayotaka kufanyiwa, mwanaume hastahili kufanyiwa ndo Mimi nikaongezea tu sasa kwa wanawake kama hao hawana kingine cha kuoffer zaidi ya papuchi. Ila sikuandika kwa nia mbaya wala kudharau mtu, na kama utakua umekwazwa na namna moja au nyingine sorry sana, tuko hapa kujifunza na kuelimishana na wala sio kudharauliana mkuu.
 
Mwanamke ni selfish in nature, anapenda always atendewe haki hata kama anazingua. Thats so obvious!!! Inauma sana kufanywa mjinga
Hii game ya mwamba ngoma unaipenda kweli wewe jamaa. Sijui ni kutendwa ndio kunakufanya uwe hivyo!! Do you think hakuna wanawake wenye machungu yao sababu yenu?
 
With this mentality yku will all end up with do's and dont's in your list.
Dont ask me how
i gotta ask you how
uzuro mi na wewe huwa tunaeleweshana what we think always so najua hapo uta nielezea pia.
sja kusoma kabsa.
kumbuka ujumbe usipo eleweka ni sawa na ujumbe usipo fika
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
shemeji hatuna haja ya ku muuliza Mengi. K lynn has nothing else to offer s'thing which is natural kabsa na Mengi ana furahia kabsa hiko anacho kipata.

ila hii shemej hai apply kwa wana wake wote, bali wengi. na siyp insult ni nature hiyo.
Si unaona mentality uliyonayo, maana akili yako inaweza pesa tu. Hiyo happiness unayoiongelea unajua umuhimu wake ktk kumfanya mengi kuzisaka zaidi? Ndio maana nakuambia kamuulize mengi ndio atakujibu vizuri, niliwahi ona interview yake fulani niligundua klyn has alot to offer kwa yule mzee.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
shem hebu ni some kwa umakini nimejitahid kutoa sababu si claims tu.
halaf pia language matters lugha i aweza kufanya maana ipotee au isipotee.
so sija sema kwa nia mbaya kabsa
Shemeji hebu nawe jisome upya alafu uone ulichoandika na utoke ndani ya boksi.
 
Bibie nafikiri tumeshindwa kuelewana tu, sina dharau na sikudhamiria kudharau mtu, hayo maneno yalikua ni reply kwa mwenzangu aliyewazungumzia kuna wanawake wao wanafikiri Yale wanayotaka kufanyiwa, mwanaume hastahili kufanyiwa ndo Mimi nikaongezea tu sasa kwa wanawake kama hao hawana kingine cha kuoffer zaidi ya papuchi. Ila sikuandika kwa nia mbaya wala kudharau mtu, na kama utakua umekwazwa na namna moja au nyingine sorry sana, tuko hapa kujifunza na kuelimishana na wala sio kudharauliana mkuu.
Sawa mkuu.
 
Ndio maana kakujibu hivyo maana unampinga kwa kuzidi kuthibitisha alichosema. Hivi mbona nyuzi zinazohusu wanaume huwa hamsemi wamalizie so and so...???

Heaven Sent
Nalendwa mkuje muone kile tulichokuwa tunasema siku ile ndio hikihiki hapa.

Tehe!, ndo shida hii. Upande mmoja tu ndo ufurahi na kupewa all the goodies, sisi sijui nani atufurahishe sasa..
 
Umeandika kwa nia nzr kumbe? You should have said b4 that You do me i do you not et wanawake can only offer papuchi. That is typically offence to my side.
Tatizo hamjaangalia hiyo comment imeanzia wapi, nafikiri tungeelewana, anyway mniwie tu radhi kwa kutoifanya komenti ieleweke bibie.
 
Tehe!, ndo shida hii. Upande mmoja tu ndo ufurahi na kupewa all the goodies, sisi sijui nani atufurahishe sasa..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hadi soksi tunawavua, but still mtu anaona we women we have nothing to offer in relationships.
 
Bibie nafikiri tumeshindwa kuelewana tu, sina dharau na sikudhamiria kudharau mtu, hayo maneno yalikua ni reply kwa mwenzangu aliyewazungumzia kuna wanawake wao wanafikiri Yale wanayotaka kufanyiwa, mwanaume hastahili kufanyiwa ndo Mimi nikaongezea tu sasa kwa wanawake kama hao hawana kingine cha kuoffer zaidi ya papuchi. Ila sikuandika kwa nia mbaya wala kudharau mtu, na kama utakua umekwazwa na namna moja au nyingine sorry sana, tuko hapa kujifunza na kuelimishana na wala sio kudharauliana mkuu.
Nimekupenda bure, watu walio wepesi kuomba radhi huwa wanabarikiwa sana. You did well and God bless you.
 
Back
Top Bottom