Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,919
- 183,338
Wapite mbali na sisi mamiii. In Jesus name.Kuna watu wana mauzi hii dunia jmn usiombe ukutane nao.
Wapite mbali na sisi mamiii. In Jesus name.Kuna watu wana mauzi hii dunia jmn usiombe ukutane nao.
Nahisi. Unathubutuje kutamka maneno km hayo? Yaan Mungu nisaidieKwakweli, sijui ni malezi/makuzi ndio yanawapelekea wawe hivyo!!!
Aisee imekua dharau tena, sasa kama kila kitu mwanaume ndo afanye, hapo unafikiri wewe utakua na kazi gani zaidi ya hiyo.Si mnaona mlivyo na dharau, alafu nao wakiwadharau mnaanza maneno!!!
Amen kubwa kabisa.waweza fupisha maisha ukikutana na wenye fikra hizo. They will never value your opinionWapite mbali na sisi mamiii. In Jesus name.
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Kweli hii ni dharau kubwa sana. Yaan ikiwezekana aombe tu msamaha duuh
Sure, maana anajua the only thing yo can offer ni papuchi. Pathetic indeed!!!Amen kubwa kabisa.waweza fupisha maisha ukikutana na wenye fikra hizo. They will never value your opinion
Naweza kusema umeongea kitu lkn si kwa dharau zile ulizoweka pale. Et sisi ni papuchi tu tu aweza offer? Kweli? Si kwa dharau hizi jmn[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kama hutaki dharau yale unayopenda kufanyiwa na mpenzi wako nawe mfanyie ivyoivyo.
Kuna mahali mmeambiwa wanawake wasifanye chochote? Soma mada elewa mada, usianzishe mada juu ya mada.Aisee imekua dharau tena, sasa kama kila kitu mwanaume ndo afanye, hapo unafikiri wewe utakua na kazi gani zaidi ya hiyo.
Very, i hate primitive ideas like this. Kuliko ukutane na watu kama hawa bora uwe alone. Nahis narudia tenaSure, maana anajua the only thing yo can offer ni papuchi. Pathetic indeed!!!
[emoji23] [emoji23] rudia tu maana ni bora mara elfu!!!Very, i hate primitive ideas like this. Kuliko ukutane na watu kama hawa bora uwe alone. Nahis narudia tena
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji8][emoji23] [emoji23] rudia tu maana ni bora mara elfu!!!
Hahaha, ukitoa papuchi sidhani kama kuna kingine wanaweza kuoffer, japo hakuna atayekubali hilo.
Si mnaona mlivyo na dharau, alafu nao wakiwadharau mnaanza maneno!!!
hahahahaKweli hii ni dharau kubwa sana. Yaan ikiwezekana aombe tu msamaha duuh
Duuh siamin bado ninachosikia kutoka kwako. At least umetofautisha ila badooooooòhahahaha
najua kwa kina dada jamaa ata wa offend
let me try to explain
toka mwanzo wa binadamu, suala la mapenzi lilihusisha mbadilishano wa rasilimali, mfano vyakula, maladhi na hata ulinzi.
wanawake wamekukuwa waki offer sex kwa ajili ya kupata mambo hayo ni toka evolution of man haya mambo yalikuwepo.
sex was traded with other resources.
kila mahusiano baina ya mwanaume na mwanamke yamekuwa yana husisha hiyo trade off.
kwa hiyo kwa mtazamo wa ki evolution mwanamke hana cha ku offer zaid ya papuchi, something which is fine for a man.
sasa kwa dunia ya sasa kwa wale wanawake ambao bado wako dependent kwa wanaume hasa financially ni wana offer sex tuu, mfano mtu kama K lyn anaoffer nn kwa Mengi?
lakini kwa wale wanawake ambao wako independent financially na emotionaly na na wanataka companionship tu hao hawa toi sex tuu.
so kwa masista wengi wa k tz bado kauli hii iko sawa tu karib asilimia 75.
na si jambo baya sana
Aisee naona tunashindwa kuelewana, na wala sijamdharau mtu, nilichotaka kukiweka clear ni kwamba mapenzi ni two way you do me I do you, sasa kama utategemea Mimi ndo nifanye yote unafikiri nini kitatuweka tena pamoja kama sio papuchi?. Narudia tena sijadharau mtu na sikuandika hayo maneno kwa nia mbaya.Naweza kusema umeongea kitu lkn si kwa dharau zile ulizoweka pale. Et sisi ni papuchi tu tu aweza offer? Kweli? Si kwa dharau hizi jmn
Lazima umtetee kama mentality zenu zinafanana. Ukitaka kujua k lyn anaoffer nini kwa mengi nenda kamuulize mengi ndio atakuambia. Hizi mentality mnazo wanaume wa kibongo maana kwenu mapenzi mmeyachukulia hivyo mnavyoyachukulia, kwahiyo ukiona mtu anakuchuna then anasepa basi jua wewe ndio chanzo.hahahaha
najua kwa kina dada jamaa ata wa offend
let me try to explain
toka mwanzo wa binadamu, suala la mapenzi lilihusisha mbadilishano wa rasilimali, mfano vyakula, maladhi na hata ulinzi.
wanawake wamekukuwa waki offer sex kwa ajili ya kupata mambo hayo ni toka evolution of man haya mambo yalikuwepo.
sex was traded with other resources.
kila mahusiano baina ya mwanaume na mwanamke yamekuwa yana husisha hiyo trade off.
kwa hiyo kwa mtazamo wa ki evolution mwanamke hana cha ku offer zaid ya papuchi, something which is fine for a man.
sasa kwa dunia ya sasa kwa wale wanawake ambao bado wako dependent kwa wanaume hasa financially ni wana offer sex tuu, mfano mtu kama K lyn anaoffer nn kwa Mengi?
lakini kwa wale wanawake ambao wako independent financially na emotionaly na na wanataka companionship tu hao hawa toi sex tuu.
so kwa masista wengi wa k tz bado kauli hii iko sawa tu karib asilimia 75.
na si jambo baya sana
Hajatofautisha hata kidogo, sema kajitahidi kurembesha ila yumo mle mle sema kwa maelezo marefu tu.Duuh siamin bado ninachosikia kutoka kwako. At least umetofautisha ila badooooooò
Acha tu nilale nishachafukwa mie duuuh
Umeandika kwa nia nzr kumbe? You should have said b4 that You do me i do you not et wanawake can only offer papuchi. That is typically offence to my side.Aisee naona tunashindwa kuelewana, na wala sijamdharau mtu, nilichotaka kukiweka clear ni kwamba mapenzi ni two way you do me I do you, sasa kama utategemea Mimi ndo nifanye yote unafikiri nini kitatuweka tena pamoja kama sio papuchi?. Narudia tena sijadharau mtu na sikuandika hayo maneno kwa nia mbaya.
hahahahaDuuh siamin bado ninachosikia kutoka kwako. At least umetofautisha ila badooooooò