Mwanamke kudekezwa na kubebishwa

Mwanamke kudekezwa na kubebishwa

shemeji mi sja wahi kuamini lazima mwanamke achangie pesa, ikiwa anazo nisawa akichangia, ila kama baba wa familia i must provide, sema vijana wengi wa mijini ndio hupenda slope.
kuna kitu kinaitwa majukum, hayo lazima kuwe na mgawanyo.
lakini kwenye vitu vinavo husisha hisia, au matendo yanayo husisha hisia hapo tuwe fair, niteendee yale ambayo ungependa nikutendee. mahusiano yakisha ongozwa na golden rule siku zote hudumu tu.
Si ndio unipende nami nikuheshimu!!! Thats the rule, kwahiyo ukiona kunipenda ni mzigo basi nami nitaona kukuheshimu ni mzigo vile vile.
 
sawa
ila ningependa mazungumzo yetu yajikite kwenye mada maana so vema kusemana ila ni vema kueleweshana.
you can do better than that madam
Bado yuko kwenye mada mbona shemeji. Kwanini unaquestion sana hilo? Kwani wapi amesema wakati unafanya hayo basi mwanamke yeye atulie tuuuu. Unafikiri wanawake wao hawana cha kuwafanyia? Ni vile mada leo imewahusu wanawake. Tafuta na zenu zipo humu rundooooo tena na demands zenu kibaaaao.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
shemeji hajatoa hoja hapo kaamua kunisema tu.

mi sjakataa lakin angemaliza na line moja kuwa
basi na wanawake jitahidn kuwatendea wanaumw zenu hayo hayo (ikiwezekana)

mfano amesema tuwachekeshe, siamini kama kucheka wanaoe da wanawake tuu, hata nyie mwaweza tuchekesha.
 
Unajua wanawake hawa viumbe wa ajabu sanaa ...
Kuna manzi nilikua naye kwenye mahusiano ya kawaidaa tuu nikawa nampa hela siku nyingine namletea zawadi kuna siku akikua hana hela ya mchezo kwenye vikundi vyao nikamsaidia na alipotoka kwenye kikundi simu ilipasuka kwaio akaniomba nimnunulie nyingine hapo

Kuna jamaa wangu yeye anaduka nikamwambia nataka simu nikampa hela nikamwambia atakuja kuchukua shemeji yako fulani . .

Jamaaa akaelewa somo demu akashukuru sanaa

Basi kama miezi mitatu hivi mahusiano yaaendelea out za kutosha zawadi za kutosha vitenge hivi kama zawadi nilimnunulia mpaka basi na hela zingine za matumizi ..
Kimbembe akija gheto yani hamna makeke yoyote na kiuno kigumu sanaa kama nati haina grisi. .
Nikawa namvumilia
Sikuwahi hata siku moja kushika simu yake siku hiyoo alikuja room kwangu alikua ametoka mishe zake akaomba aoge ILI aende kwao ..
Ikaja akili nikachukua simu yake kuingia whatsaap nikaona kuna njemba nyingine anachart naye ile nchemba inamsifia sana utundu wake kitandani hadi koni kanyonya na kiuno feni. ..aisee roho iliniuma sanaa

Aliporudi kutoka kuoga nakujua kama nilikua nimeshika simu yake mana ilikua haina passwords. .
Tangu siku Ile nikawa naishia story tuu na nikamwambia siku hizi biashara zangu hazipo vizuri kwaio nimefulia kama week mbili sijampa hela ...
Nikaanza kukata mawasiliano kidogo kidogo mpaka Leo

Hajui anabaki kuniuliza kuwa kwanini nilimuacha gahfla nikamwambia moyo tuu..

Hawa viumbe hata uwadekeze hamna kitu

nakubaliana nawewe mkuu. Tena ukiwapeleka kijeda hawa watu ndio wanakuheshimu. Ukiwapeleka boyz tu meen imekula kwako.

Sikatai usimweshimu au vip lakni ajue you just dont gve a damn. She can also be replaced.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
shemeji hajatoa hoja hapo kaamua kunisema tu.

mi sjakataa lakin angemaliza na line moja kuwa
basi na wanawake jitahidn kuwatendea wanaumw zenu hayo hayo (ikiwezekana)

mfano amesema tuwachekeshe, siamini kama kucheka wanaoe da wanawake tuu, hata nyie mwaweza tuchekesha.
Ndio maana kakujibu hivyo maana unampinga kwa kuzidi kuthibitisha alichosema. Hivi mbona nyuzi zinazohusu wanaume huwa hamsemi wamalizie so and so...???

Heaven Sent
Nalendwa mkuje muone kile tulichokuwa tunasema siku ile ndio hikihiki hapa.
 
hahahaha
sasa sja bisha ndio maana nimetumia kauli nzuri kuwa
kila mtu amtendee mwenzie vile anavopenda.

hata za wanaume huwa nakuwa mstari wa mbele kupigania haki nadhan shem una nifaham
 
hahahaha
sasa sja bisha ndio maana nimetumia kauli nzuri kuwa
kila mtu amtendee mwenzie vile anavopenda.

hata za wanaume huwa nakuwa mstari wa mbele kupigania haki nadhan shem una nifaham
Kasoro haki za wanawake wasomi tu ndio umegoma kuzipigania shemeji.

Bottom line is, mnatakiwa mtudekeze sana, kama napenda kuchekeshwa we nichekeshe tuuu. Ikifika kukutendea nitakutendea as kichwa kinavyotenda. Nyie si ndio vichwa bwana shemeji!!![emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
shemeji hajatoa hoja hapo kaamua kunisema tu.

mi sjakataa lakin angemaliza na line moja kuwa
basi na wanawake jitahidn kuwatendea wanaumw zenu hayo hayo (ikiwezekana)

mfano amesema tuwachekeshe, siamini kama kucheka wanaoe da wanawake tuu, hata nyie mwaweza tuchekesha.
Wao si wanafikiri sisi ni marobot sio watu mkuu.
 
Tujitahidi Tu Lakini Wanawake Wazuri Pasua Kichwa
 
Wote tunakwenda kazini ila mwanaume anataka niwe wa kwanza kuamka na wa mwisho kulala. Nimfulie, nimpikie,nimnyooshe nguo nk nk bado na watoto nilee.
Hata stori inabd aanzishe mwanaume akikaa kimya mnakua mabubu,anyway upo sahihi kias ila mpunguze kupenda kufurahishwa kuliko kumfurahisha mwenzio
 
View attachment 536171 View attachment 536166 Ndo hivyo wanaume , wanawake wanapenda kusikia Maneno mazuri ya Mahaba kutoka kwenu yenye kuamsha hisia za mapenzi. Sweet umependeza, tangu nikuoe hadi leo utafikiri hujazaa uzuri wako hauchuji mrembo n.k, n.k .

View attachment 536167
Kifupi Hisia za mapenzi za wanawake wengi huamshwa na KUSIKIA Maneno Mazuri ya Mahaba kutoka kwa mpenzi wake . Awe mwanamke wa umri wowote ule na wala haijalishi umedumu nae kwenye mahusiano kwa muda gani Suala ni kwamba wanawake tunapenda kudeka kwa mabwana zetu ukifaulu hapo Neno kunyimwa unyumba utasikia tu jf au kwenye redio.
View attachment 536170

Kitandani
ndipo haswa na kuonesha ujuzi wako wa kuchekesha na kufurahisha .Kuwa comedian kwa mkeo usiseme atanichukuliaje ,ndo atasisimka na kukumbuka kila ukisafiri ni Miss you, baby unarudi lini.

Jamani kaka, baba, wajomba na watoto wetu wa kiume jaribu sasa kubadilika ilibTanzania ya Viwanda iende sambamba na Familia zenye Furaha na Watu wenye Furaha. Furaha ya Mwanamke itakuletea faida nyingi ikiwemo
1. Mapenzi moto moto yasiyochuja.
2. Watoto wenye akili na wanaojiamini.
3. Familia bora.
4. Utendaji kazi bora na uliotukuka.

Wanawake wengi kwa asilimia kubwa wameweza kuamsha Hisia za Wanaume kwa Kupitia KUONA , siku hizi karibia kila mwanamke ni mrembo na anavutia haswa hivyo wanaume msituangushe twende sambamba tuijenge Tanzania imara.
Jamani ni kukumbushana tu, ahsanteni.View attachment 536169 View attachment 536168
View attachment 536172
..Bongo hiii hii , ..
 
Back
Top Bottom