Mwanamke kudekezwa na kubebishwa

Mwanamke kudekezwa na kubebishwa

he just needed one special person who he could sleep with na K lynn was that person sema ambapo Mengi angeweza pata mwanamke yyte ana mtaka kwa kuwa yeye alikuwa ana uwezo, kwenye zile ishu zngine zote Mengi angeweza kuzipata pia bila hata K lynn kuwepo.
Duuuuh!!! Naomba tuishie hapo maana kamwe siwezi kukuelewa ktk hilo.
 
Kwahiyo shemeji law of nature inasema wanawake wanaoffer papuchi tu!!! Na hiyo "something" kwako ni kitu gani?
ukirud kule ndio nliko toa point ya kwanza unagundua nlisema kuwa wanawake wali toa sex ili wapate all other resources ikiepo food, shelter and protection.
na hata wanawake wa sasa wana tegemea wakat mwanaume ata pewa sex na yeye ata offer all other things kama pesa, emotional support, food, protection, leadership etc.

yaan hii ni sheria iliyopo since binadam hawaja anza hata kutumua two limbs, throught evolution.
 
Kwakweli, ila mada kama hizi huwa kupata conclusion moja huwa haiwezekani sababu kila mtu huvutia kwake. Na zikijadiliwa pasipo hisia na mihemko hutoa fundisho zuri sana, ila kinyume chake huibua malumbano yasiyo na tija. Hii ndo JF mkuu hakuna kinachokosekana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
uzuri ni kuwa facts huwa facts
na facts sku zite huwa zinakera kama haziko upande wako

ila debate ilikuwa poa sana kwa kweli
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
uzuri ni kuwa facts huwa facts
na facts sku zite huwa zinakera kama haziko upande wako

ila debate ilikuwa poa sana kwa kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ilikua njema kwakweli, na debate za namna hii huwa haziishi kama zisipoendelea hapa zitaendelea kwenye Uzi mwingine.
 
Wanaume tumeumbiwa mateso, naweza nikakufanyia yote hayo na usiridhike, akili zenu mnazijua wenyewe
 
Love me like i do, need me like i do, treat me like i do.....i believe in giving and receiving, not necessarily equally but fairly...
Mapenzi ya upande mmoja yanaumiza sana, kila siku wewe ndo uanze kumjulia hali...i love u baby/i miss you baby...unajibiwa asante kavu isiyo na nakshi nakshi....[emoji2] [emoji2]
Mapenzi ni maneno matamu...sweet and kind words/treatments from both sides
 
Hahaha hatari yaani mnataka wanaume wote tuwe Eric omond
 
Picha zako sehemu kubwa ni wazungu, kuonyesha wanaume zetu wa kiafrica, kitanzania nyie hamjuagi kupetipeti. Ila mwanamke ukiwa na mwanamme anayejua kupetipeti na mwenye mahaba unakuwa dunia nyingine kabisa
 
Raha mnapenda nyie tu wanawake ?? Sisi wanaume kwani ndio hatutaki?? Love is like a two way traffic bibie...
 
Back
Top Bottom