Mwanamke kudekezwa na kubebishwa

Mwanamke kudekezwa na kubebishwa

Si unaona unakorudi!!! Hebu kamuulize bibi yako(na assume hakuwa independent) kuwa alioffer nini kwenye mahusiano na babu then utapata jibu. Ondoa hiyo mentality, maana kwa akili hizo unaongelea pesa, yaani kitu pekee unachoona mwanamke anaweza kuoffer na ukaona ameoffer kitu ni pesa.

Kwa maana hiyo asipokuoffer pesa basi she has offered nothing zaidi ya papuchi right!!!

shemeji nimetoa maelezo na sija condemn wala sija laumu hilo.
siwezi ku muuliza bibi yangu ali m offer nini babu wakat najua.

na katika vitu si amini ni mwanamke ku ni offer pesa, am a the man i shall provide it na wala sita nung'unika. ila ni ukweli usiopingika kuwa hii ni shu ya ki nature zaid inaweza isi ku please ila ndio reality shemeji.
 
Mapenzi kama ushuzi, ukilazimisha utajinyea.

Unaweza kujichekesha toka asubuhi mpk jioni kumbe mwenzio anakuona ni kama kinyago cha mpapure. Kama ipo ni ipo tu. Mkipendana mlivyo ndio inapendeza ukianza kuongeza vitu ambavyo siyo uhalisia wako hapo ndipo uharibu huanza.

All in all, let it be as it is.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hadi soksi tunawavua, but still mtu anaona we women we have nothing to offer in relationships.

Aisee!, sad..
Yaani hakuna ku appreciate kabisa ingawa mchango wetu ni mkubwa sana.
Halafu wala hatuhitaji mengi kutufurahisha, lakini tunaambiwa haturidhiki.
 
shemeji nimetoa maelezo na sija condemn wala sija laumu hilo.
siwezi ku muuliza bibi yangu ali m offer nini babu wakat najua.

na katika vitu si amini ni mwanamke ku ni offer pesa, am a the man i shall provide it na wala sita nung'unika. ila ni ukweli usiopingika kuwa hii ni shu ya ki nature zaid inaweza isi ku please ila ndio reality shemeji.
Mkuu inatosha, tushaelewana tusichimbue makaburi tena.
 
Si unaona mentality uliyonayo, maana akili yako inaweza pesa tu. Hiyo happiness unayoiongelea unajua umuhimu wake ktk kumfanya mengi kuzisaka zaidi? Ndio maana nakuambia kamuulize mengi ndio atakujibu vizuri, niliwahi ona interview yake fulani niligundua klyn has alot to offer kwa yule mzee.
shemeji ile interview nili iangalia sana
mbona Mengi hakuongea mapya pale, vile vitu vyote Mengi bila ya kuishi na K lynn angeweza kuwa offerd.

sina mentality mbaya ila ni ukweli wa ki historia na ki evolution.
most women expect men to do the part of taking care of...
 
Bibie nafikiri tumeshindwa kuelewana tu, sina dharau na sikudhamiria kudharau mtu, hayo maneno yalikua ni reply kwa mwenzangu aliyewazungumzia kuna wanawake wao wanafikiri Yale wanayotaka kufanyiwa, mwanaume hastahili kufanyiwa ndo Mimi nikaongezea tu sasa kwa wanawake kama hao hawana kingine cha kuoffer zaidi ya papuchi. Ila sikuandika kwa nia mbaya wala kudharau mtu, na kama utakua umekwazwa na namna moja au nyingine sorry sana, tuko hapa kujifunza na kuelimishana na wala sio kudharauliana mkuu.
this is decency man
big up
 
shemeji nimetoa maelezo na sija condemn wala sija laumu hilo.
siwezi ku muuliza bibi yangu ali m offer nini babu wakat najua.

na katika vitu si amini ni mwanamke ku ni offer pesa, am a the man i shall provide it na wala sita nung'unika. ila ni ukweli usiopingika kuwa hii ni shu ya ki nature zaid inaweza isi ku please ila ndio reality shemeji.
Nami nimetoa maelezo na ungemuuliza vizuri bibi ungepata majibu mazuri zaidi ili kuondokana na hiyo mentality.

And if thats the case(nature) as you said, then why uliuliza mwanamke atafanya nini? As unajua nature inamtaka akupe papuchi tuuu baaasi kazi yake imeisha??????
 
Aisee!, sad..
Yaani hakuna ku appreciate kabisa ingawa mchango wetu ni mkubwa sana.
Halafu wala hatuhitaji mengi kutufurahisha, lakini tunaambiwa haturidhiki.
Tena tunaambiwa tuna demands nyingi sanaaaaa!!! Can you emagine!! Kisa tu wameambiwa watupeti peti.
 
shemeji ile interview nili iangalia sana
mbona Mengi hakuongea mapya pale, vile vitu vyote Mengi bila ya kuishi na K lynn angeweza kuwa offerd.

sina mentality mbaya ila ni ukweli wa ki historia na ki evolution.
most women expect men to do the part of taking care of...
Angeweza kuwa offered na nani? Hilo swali ndilo linajibu swali lako, he needed that one special person wa kuyaoffer hayo.
 
Nami nimetoa maelezo na ungemuuliza vizuri bibi ungepata majibu mzuri zaidi ili kuondokana na hiyo mentality.

And if thats the case(nature) as you said, then why uliuliza mwanamke atafanya nini? As unajua nature inamtaka akupe papuchi tuuu baaasi kazi yake imeisha??????
hahaha
nimesha soma class nimesha observe
duniani hakuna kilicho na exception unaweza kuta kuna baadhi ya jamii chache ni kweli later on women offers something.

ila kwa wanawake pia haitakiwi kuwa offense kwani ni law of nature hiyo.
 
daaah
mjadala wa leo nime upenda na nazid ku upenda
[emoji106]
Kwakweli, ila mada kama hizi huwa kupata conclusion moja huwa haiwezekani sababu kila mtu huvutia kwake. Na zikijadiliwa pasipo hisia na mihemko hutoa fundisho zuri sana, ila kinyume chake huibua malumbano yasiyo na tija. Hii ndo JF mkuu hakuna kinachokosekana.
 
hahaha
nimesha soma class nimesha observe
duniani hakuna kilicho na exception unaweza kuta kuna baadhi ya jamii chache ni kweli later on women offers something.

ila kwa wanawake pia haitakiwi kuwa offense kwani ni law of nature hiyo.

Kwahiyo shemeji law of nature inasema wanawake wanaoffer papuchi tu!!! Na hiyo "something" kwako ni kitu gani?
 
Angeweza kuwa offered na nani? Hilo swali ndilo linajibu swali lako, he needed that one special person wa kuyaoffer hayo.
he just needed one special person who he could sleep with na K lynn was that person sema ambapo Mengi angeweza pata mwanamke yyte ana mtaka kwa kuwa yeye alikuwa ana uwezo, kwenye zile ishu zngine zote Mengi angeweza kuzipata pia bila hata K lynn kuwepo.
 
Back
Top Bottom