Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Ukijivunia pesa zako tu ujue kuna Serengeti boys au Vijana wa Bodaboda wanakusaidia na wanazitumia pesa zako pia. Kila jambo lina nafasi yake kuna PESA na MAPENZI tena ilianza kuumbwa mapenzi kwani Nabii Adam alimpa shilingi ngapi Eva? Je Adam hakumuasi Mungu ili tu amridhishe Eva.
Kwaiyo saivi ndo mnataka mtuingize kingi kwa mara ya pili? Tumeshtuka.