Mwanamke kudekezwa na kubebishwa

Mwanamke kudekezwa na kubebishwa

jamani kwani mwanaume zad ya kuheshimiwa na kupewa haki yake ya mechi, hahitaji mambo mengi.
ila wanawake mnataka hadi tuwe ma komediani!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

shemeji that is too much jaman
Hapo pa kuheshimiwa ndipo panapobeba mlolongo wa demands kibaooo.
Shemeji how much inakucost ukiwa comedian? Au huo ukomedian unaubeba kwenye begi?
 
hapana
mbona kwenye mambo mengine huwa mnataka usawa?

mahusiano yafaa yawe fair , sio nikuchekshe ila tuchekeshane, siyo nikubembeleze ila tubembelezane.
kwa kweli relationship ni two way streak.
Kama vile ikija suala la pesa ambavyo huwa mnatusaidia kuhubiri usawa eeeh!!!

Kuwa fair ndio huko umpende yeye akuheshimu baaasi. Ukiona huo ni mzigo kwako basi tambua hapo umejiegesha na haupendi shemeji.
 
Sio kwa usawa huu wa uncle, hapa kazi tu , kutafuta pesa maana izo zote mbwembwe ingekua ivo hao wachekeshaji kina eric na ringo wangekua na mademu wakali, matokeo yake kina Mengi ndo wanaokula mema ya nchi, usitake kusema mengi nae anafanya kazi ya kumchekesha Jack
 
hapana
mbona kwenye mambo mengine huwa mnataka usawa?

mahusiano yafaa yawe fair , sio nikuchekshe ila tuchekeshane, siyo nikubembeleze ila tubembelezane.
kwa kweli relationship ni two way streak.
Itakuwa mwanaume wa kulee.... Maana siyo kwa kutaka mashindano hivyo na wanawake ,utaachwa sana.
 
Sio kwa usawa huu wa uncle, hapa kazi tu , kutafuta pesa maana izo zote mbwembwe ingekua ivo hao wachekeshaji kina eric na ringo wangekua na mademu wakali, matokeo yake kina Mengi ndo wanaokula mema ya nchi, usitake kusema mengi nae anafanya kazi ya kumchekesha Jack
Ukijivunia pesa zako tu ujue kuna Serengeti boys au Vijana wa Bodaboda wanakusaidia na wanazitumia pesa zako pia. Kila jambo lina nafasi yake kuna PESA na MAPENZI tena ilianza kuumbwa mapenzi kwani Nabii Adam alimpa shilingi ngapi Eva? Je Adam hakumuasi Mungu ili tu amridhishe Eva.
 
View attachment 536171 View attachment 536166 Ndo hivyo wanaume , wanawake wanapenda kusikia Maneno mazuri ya Mahaba kutoka kwenu yenye kuamsha hisia za mapenzi. Sweet umependeza, tangu nikuoe hadi leo utafikiri hujazaa uzuri wako hauchuji mrembo n.k, n.k .

View attachment 536167
Kifupi Hisia za mapenzi za wanawake wengi huamshwa na KUSIKIA Maneno Mazuri ya Mahaba kutoka kwa mpenzi wake . Awe mwanamke wa umri wowote ule na wala haijalishi umedumu nae kwenye mahusiano kwa muda gani Suala ni kwamba wanawake tunapenda kudeka kwa mabwana zetu ukifaulu hapo Neno kunyimwa unyumba utasikia tu jf au kwenye redio.
View attachment 536170

Kitandani
ndipo haswa na kuonesha ujuzi wako wa kuchekesha na kufurahisha .Kuwa comedian kwa mkeo usiseme atanichukuliaje ,ndo atasisimka na kukumbuka kila ukisafiri ni Miss you, baby unarudi lini.

Jamani kaka, baba, wajomba na watoto wetu wa kiume jaribu sasa kubadilika ilibTanzania ya Viwanda iende sambamba na Familia zenye Furaha na Watu wenye Furaha. Furaha ya Mwanamke itakuletea faida nyingi ikiwemo
1. Mapenzi moto moto yasiyochuja.
2. Watoto wenye akili na wanaojiamini.
3. Familia bora.
4. Utendaji kazi bora na uliotukuka.

Wanawake wengi kwa asilimia kubwa wameweza kuamsha Hisia za Wanaume kwa Kupitia KUONA , siku hizi karibia kila mwanamke ni mrembo na anavutia haswa hivyo wanaume msituangushe twende sambamba tuijenge Tanzania imara.
Jamani ni kukumbushana tu, ahsanteni.View attachment 536169 View attachment 536168
View attachment 536172
Nijuavyo mimi wanawake hawajawahi kuwa na standard!!Wanawake wanatofautiana sana tu,anachokipenda huyu yule hakipendi!kitu cha msingi ni kumsoma mwanamke wako anapenda nini na nini hapendi then nenda nae sambamba!Wanawake hawana fomula
 
Kama vile ikija suala la pesa ambavyo huwa mnatusaidia kuhubiri usawa eeeh!!!

Kuwa fair ndio huko umpende yeye akuheshimu baaasi. Ukiona huo ni mzigo kwako basi tambua hapo umejiegesha na haupendi shemeji.
shemeji mi sja wahi kuamini lazima mwanamke achangie pesa, ikiwa anazo nisawa akichangia, ila kama baba wa familia i must provide, sema vijana wengi wa mijini ndio hupenda slope.
kuna kitu kinaitwa majukum, hayo lazima kuwe na mgawanyo.
lakini kwenye vitu vinavo husisha hisia, au matendo yanayo husisha hisia hapo tuwe fair, niteendee yale ambayo ungependa nikutendee. mahusiano yakisha ongozwa na golden rule siku zote hudumu tu.
 
Wanawake mnaelekea kubaya yan mnataka tuwe kina joti na hela tuwape na kileleni tuwafikishe duh ni sheedah
 
Unajua wanawake hawa viumbe wa ajabu sanaa ...
Kuna manzi nilikua naye kwenye mahusiano ya kawaidaa tuu nikawa nampa hela siku nyingine namletea zawadi kuna siku akikua hana hela ya mchezo kwenye vikundi vyao nikamsaidia na alipotoka kwenye kikundi simu ilipasuka kwaio akaniomba nimnunulie nyingine hapo

Kuna jamaa wangu yeye anaduka nikamwambia nataka simu nikampa hela nikamwambia atakuja kuchukua shemeji yako fulani . .

Jamaaa akaelewa somo demu akashukuru sanaa

Basi kama miezi mitatu hivi mahusiano yaaendelea out za kutosha zawadi za kutosha vitenge hivi kama zawadi nilimnunulia mpaka basi na hela zingine za matumizi ..
Kimbembe akija gheto yani hamna makeke yoyote na kiuno kigumu sanaa kama nati haina grisi. .
Nikawa namvumilia
Sikuwahi hata siku moja kushika simu yake siku hiyoo alikuja room kwangu alikua ametoka mishe zake akaomba aoge ILI aende kwao ..
Ikaja akili nikachukua simu yake kuingia whatsaap nikaona kuna njemba nyingine anachart naye ile nchemba inamsifia sana utundu wake kitandani hadi koni kanyonya na kiuno feni. ..aisee roho iliniuma sanaa

Aliporudi kutoka kuoga nakujua kama nilikua nimeshika simu yake mana ilikua haina passwords. .
Tangu siku Ile nikawa naishia story tuu na nikamwambia siku hizi biashara zangu hazipo vizuri kwaio nimefulia kama week mbili sijampa hela ...
Nikaanza kukata mawasiliano kidogo kidogo mpaka Leo

Hajui anabaki kuniuliza kuwa kwanini nilimuacha gahfla nikamwambia moyo tuu..

Hawa viumbe hata uwadekeze hamna kitu
 
Ukijivunia pesa zako tu ujue kuna Serengeti boys au Vijana wa Bodaboda wanakusaidia na wanazitumia pesa zako pia. Kila jambo lina nafasi yake kuna PESA na MAPENZI tena ilianza kuumbwa mapenzi kwani Nabii Adam alimpa shilingi ngapi Eva? Je Adam hakumuasi Mungu ili tu amridhishe Eva.
Hivi kwani wote wenye pesa hawawezi kupiga mashine kisawasawa? Maana naona ni kama watu wamekalili kua ukiwa na pesa basi uwezo wa kupiga mashine unapotea
 
Itakuwa mwanaume wa kulee.... Maana siyo kwa kutaka mashindano hivyo na wanawake ,utaachwa sana.
sawa
ila ningependa mazungumzo yetu yajikite kwenye mada maana so vema kusemana ila ni vema kueleweshana.
you can do better than that madam
 
Back
Top Bottom