Mwanamke kudekezwa na kubebishwa

Mwanamke kudekezwa na kubebishwa

Anaweza kuwa anakupenda na atafurahi mwanzoni. Kadri muda unavyoenda hiyo hali anaizoea na haoni unachomfanyia kiko special. Kwahiyo hapo ndo wakati mwingine dharau huwa zinaanza. Na ikitokea ukataka kumtema anaweza hata kulia. Unabaki unajiuliza sasa mbwemwe zote zilikuwa za nini?
Hapo kwenye kuzoeana ni hali ya kawaida isipokua haipaswi kuwepo kwamuda mrefu.

Ukiona hali hiyo inabidi uwe mbunifu,mtundu tundu na mchokozi ili kuamsha hali ya upekee kwa mwenzako...
 
Oooh kumbe!! Basi sema ulimwengu wetu, sio wangu peke yangu. Haina maana niwe na ulimwengu wangu alafu niwemo peke yangu.
itapendeza na natumai itakuwa jambo jema tukitengeneza ulimwengu wetu wote na waonaje tukihamia upande wa pili?
 
itapendeza na natumai itakuwa jambo jema tukitengeneza ulimwengu wetu wote na waonaje tukihamia upande wa pili?
Tnahamia upande wa pili upi? Kwahiyo hatuhamii kwenye dunia yetu tena[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
mapenzi hayana formular achana na mambo ya soap opera watu wako tofauti wengine wanafurahi kwa vidogo wengine vikubwa it's just between you two
 
Unajua wanawake hawa viumbe wa ajabu sanaa ...
Kuna manzi nilikua naye kwenye mahusiano ya kawaidaa tuu nikawa nampa hela siku nyingine namletea zawadi kuna siku akikua hana hela ya mchezo kwenye vikundi vyao nikamsaidia na alipotoka kwenye kikundi simu ilipasuka kwaio akaniomba nimnunulie nyingine hapo


Kuna jamaa wangu yeye anaduka nikamwambia nataka simu nikampa hela nikamwambia atakuja kuchukua shemeji yako fulani . .

Jamaaa akaelewa somo demu akashukuru sanaa

Basi kama miezi mitatu hivi mahusiano yaaendelea out za kutosha zawadi za kutosha vitenge hivi kama zawadi nilimnunulia mpaka basi na hela zingine za matumizi ..
Kimbembe akija gheto yani hamna makeke yoyote na kiuno kigumu sanaa kama nati haina grisi. .
Nikawa namvumilia
Sikuwahi hata siku moja kushika simu yake siku hiyoo alikuja room kwangu alikua ametoka mishe zake akaomba aoge ILI aende kwao ..
Ikaja akili nikachukua simu yake kuingia whatsaap nikaona kuna njemba nyingine anachart naye ile nchemba inamsifia sana utundu wake kitandani hadi koni kanyonya na kiuno feni. ..aisee roho iliniuma sanaa


Aliporudi kutoka kuoga nakujua kama nilikua nimeshika simu yake mana ilikua haina passwords. .
Tangu siku Ile nikawa naishia story tuu na nikamwambia siku hizi biashara zangu hazipo vizuri kwaio nimefulia kama week mbili sijampa hela ...
Nikaanza kukata mawasiliano kidogo kidogo mpaka Leo

Hajui anabaki kuniuliza kuwa kwanini nilimuacha gahfla nikamwambia moyo tuu..


Hawa viumbe hata uwadekeze hamna kitu
Mkuu nakulaumu sana asee.

Mimi nimgeng'ang'ana mpaka anirambe koni na hayo mauno niyapate.

Inaonesha kuna kitu cha msingi kihisia alikosa kwako that's why hakuwa anafunguka kwako.
 
[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji126][emoji126][emoji126]
 
Uzuri ni kwamba mwanaume atafika tu kileleni iwe amepata ushirikiano ama hajapata. Hivyo wala wanawake msiwe na hofu mkitaka toeni unyumba kwa ridhaa ama muache. Na mkiacha tunanunua.
 
Back
Top Bottom